CHADEMA kilianzishwa kwa kufuata mfumo CCM

CHADEMA kilianzishwa kwa kufuata mfumo CCM

...hoja za kiswahili,chadema ina sera za majimbo ccm mmmmmmmmmmmmmmmmmmm sio tofauti,chadema fight corruption while ccm support sio tofauti hizo......
 
Nakupinga vibaya sana ! Chama cha siasa ni sera , ni ule utaratibu waliojipangia namna ya kuutekeleza ili kuleta maendeleo , ifahamike kwamba wanachama wa vyama vya siasa ni binadamu ( wanawake na wanaume ) sasa usitegemee cdm kuwa na viumbe tofauti , bali inafahamika kwamba malengo makuu ya cdm ni kukomesha wizi na ufisadi maana hapo ndio utapatikana ule msingi wa maendeleo tunaousaka kitambo kirefu ambao ccm imeshindwa kwa karibu miaka 60 ! Sasa kumlinganisha mtetea wezi Nape na mkombozi na mtetea haki Mnyika ni makosa makubwa sana , ni hivi CDM na CCM hazifanani kabisa , cdm kuwa na wanachama ambao ni watu kama walivyo wale wa ccm hakuwezi kuhalalisha hoja yako .
 
Kuifananisha CHADEMA na CCM kimuundo hata mimi nakubaliana nawe ila kuna kipengere kimoja tu cha utendaji ndicho kinavifanya vyama hivyo kuwa mbingu na ardhi. Kwa mfano wakati CCM wamewapuuza na kuamrisha wananchi wapigwe tu, CHADEMA wanawatetea na kuwapigania wananchi. Niishie hapa kwa mfano huo.
 
Back
Top Bottom