CHADEMA kilianzishwa kwa kufuata mfumo CCM

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,735
Reaction score
18,605
Nimekuwa nikiwafwatilia Wanachama wa CHADEMA kwa mrefu sana na nilichokigundua ni kwamba wengi wao kama SIYO wote wanaichukia sana CCM lakini wasichokijua ni kwamba chama chao cha CHADEMA kilianzishwa kwa kufwata mfumo CCM (modelled after CCM), yaani ninachomaanisha ni kwamba hakuna Chama cha Upinzani hapa TZ kinachofanana na CCM kama CHADEMA kuanzia mfumo wa Uongozi kama Mwenyekiti mpaka msemaji wa Chama ni kama CCM hata jinsi CHADEMA wanavyofanya chaguzi zao ndani ya Chama ni modell ya CCM, CCM wana UWT na CHADEMA nao wameanzisha BAWACHA, CHADEMA wana mpaka mbadala wa Chipukizi kama CCM!

Na hata ukisoma kitabu cha mmoja wa wanzilishi wa CHADEMA Bw.Mtei (from goatsherder to Governor/kuanzia mchunga mbuzi mpaka kuja kuwa Gavana wa Benki Kuu) anasema ni jinsi gani alivyotaka kuunda Chama ambacho kitakuwa ni mbadala wa CCM yaani chama ambacho ni kama CCM lkn na maboresho madogo madogo hivyo siku nyingine kama wewe ni Mwana CHADEMA na unachukia CCM tambua kwamba chama chako kimekuwa modelled after CCM hivyo CCM haiwezi kuwa mbaya kiasi hicho!

Uchaguzi CCM na CHADEMA!
View attachment 227604View attachment 227603

UWT na BAWACHA
!
View attachment 227605View attachment 227606

Wasemaji wakuu wa Chama CCm na CHADEMA!
View attachment 227608View attachment 227609

Chipukizi wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227610View attachment 227611

Wazalendo wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227612View attachment 227613
​
 
Ukitaka kujua kipi ni chama makini, hebu jaribu kuwapima hao wasemaji wa vyama kwanza!! hasa kwenye uwezo wa kujenga hoja.
 
Kwa hiyo unamanisha kuwa kwa sasa ni vyema chadema wakaongoza dola?
 
CCM haiwezi kufanana na SACCOS ya Wachagga. Sema wametuiga mambo mengi sana japo hawajafanikiwa
 
Akili za kuambiwa, sasa Tanzania ina Rais na Zanzibar ina Rais, Tanzania ina waziri Mkuu na Zanzibar ina waziri Mkuu, Tanzania ina Baraza la mawaziri na Zanzibar inalo, Tanzania ina Bunge na Zanzibar wana Bunge, Tanzania ina mipaka, na Zanzibar ina mipaka. Conclusion Tanzania ni nchi na Zanzibar ni nchi. Nyambafuu vimada vya kitoto peleka Tanuru la fikra.
 
Back
Top Bottom