4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 5,979
- 6,782
Niwasalimu Wana jf popote mlipo, MOJA KWa moja kwenye hoja
Sio siri tena CHADEMA TZ mpaka mda huu tumepishana na jeshi la police tz , na waliotufikaisha hapa ni CCm kutumia vyombo vya dola kisa wapo madarakani, Hili limetuvulilugia sana nchi na kutengeneza mausiano mabaya Kati ya police na wenye nchi waliowengi. Why ccm mmefanya hivi
Hoja ya uzi huu
Nikutaka wambia CCM,na serikali kwamba moto ambao mmeuwasha KWa Chadema mtakoma , ona Sasa KILA pembe ya nchini ni moto tu wa CHADEMA au hamuoni ?
Mkimfunga Mbowe Mtakoma kuzaliwa, nyakati kwenu ni mbaya Sana, tulisema kwa mwenda zake ila mkaweka pamba ,Sasa Bwana anawonya KWa Mara nyingine