CHADEMA kama kampuni ya samsung, Lowassa Samsung galaxy note 7

Unashikingu ngapi mfukoni? Wakati wa JK ukituma ujumbe mzuri kama huu badaye una sabini yako ya kununulia mifuko ya sumenti
 
kumbe uzezeta una wengi, na wewe?
 
Hakuna kampuni inayoitwa sumsung yani wewe jamaa ni kiazi sanaaaaa sasa ww una tifauti gani na bwana yule?
 
mtoa mada ni mtanzania kweli.....hujui kuwa uchaguzi umekwisha? by the way tunataka ajira, milion 50 kila kjj nk....
 
Naambiwa aliyetoa mada hii eti naye ni mbunge.
 
Sumsung Hahaha!! We jamaa uko serious kweli au unatania?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ