Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,021
kwa hyo ngosha ni motorola ya kidole?
Itakua Nokia ya torchkwa hyo ngosha ni motorola ya kidole?
Kunguni weweNdoroboo wewe!
Tena ni Mwanamke!Naambiwa aliyetoa mada hii eti naye ni mbunge.
Translation please....UN"K'TW' NX.ADMGAJMA.GPTM.A.AMTPHA TATGA PAJTBMW .
Haya SUMSUNGHILI GENGE LA CHADEMA. MBONA LILISHAPOTEA TOKA MWAKA JANA?? IMEBAKIA KUTETEA NA KUWASAFISHA KWA MADODOKI MAFISADI TU BASIII
Sawa SUMSUNGKwa sasa wamebaki wahuni tu na watukanaji
Umerudia SUMSUNG Mara ngapi?Soma content, mwenye akili za kushikiwa kama wewe ndo mnajadili makosa ya kiuchapishi badala ya mada. Jiondoe ukurutu wa akili mbovu
SumsungMachagadema yanatokwa povu na hivi yanatumia tumbo kufikiri
Fikiria think tank linaiita kampuni ya watu SUMSUNGhata mkiambiwa na mtu kama mzee Mwinyi kuwa nchi inaenda kama gari bovu mnabisha...kwani mnaishi Tanzania kweli wenzetu?