Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
Habari wanaJF,
Leo kuna jambo ambalo ningependa kuona michango ya wanachadema wenzangu (hasa wale ambao hawana mihemko).
Matokeo ni kama tunavyoona kuwa ni kama hakutakuwa na ruzuku hivyo tutafute mbinu mbadala ya kukinusuru chama.
Wote tunafahamu kuwa ruzuku ilitumika kwa ajili ya kuendeshea shughuli za chama.
Hivyo ili chama kiendelee ku-survive ni lazima kuwe na vyanzo vingi vya pesa, sasa basi ninaomba wanachama kwa umoja wetu tutoe maoni ya jinsi gani tunaweza kupata pesa ili chama kiendelee kuwepo, vinginevyo hiki chama kinaenda kufa (wala sio suala la utani).
Ikumbukwe kuwa kuna kiongozi alikikopesha chama kwenye uchaguzi huu, kwa minajili ya kuja kurudishiwa pesa zake baada ya uchaguzi (hizi pesa mara nyingi hurudishwa kupitia ruzuku).
Maoni yangu mimi, vifanyike vitu vitatu hapo chini;
Nawasilisha.

- Itolewe namba, kila mwanachama achangie shillingi 1000 kila mwezi. Mfano tuna wanachama laki moja walio Active ukizidisha mara 1000( 100,000*1000) ni sawa na 100,000,000 kila mwezi. Kwa mwaka inakuwa Bil 1.2. Tuseme ukweli wanachama active laki moja watashindwa kuchanga 1000? Tena kwa mwezi?
- Kuwe na mfumo rasmi wa kuuza bidhaa za chama, mfano Tshirt na mashati, bendera n.k. ziuzwe tshirt na shati na bidhaa nyingine za chama kama bendera, keyholders, stickers n.k hii itasaidia sana kuinua kipato cha chama.
- Magari yapunguzwe, na baadhi yauzwe kwa minada. Mfano zile ford rangers zipo nyingi sana hadi sasa, na kwa ukata utaokikumba chama sidhani kama zitaweza tena kusurvive, hivyo ziuzwe na pesa inayopatikana iimarishe chama.
Nawasilisha.