Kwahiyo ccm hawana wabunge ambao ni wanasheria????Nani wa CCM mwenye hadhi sawa na Lissu?
Halafu, kama kuna jambo CCM hawana au hawafanyi, CHADEMA nao ndo wasifanye?
Usichange, hili ni jambo dogo. Unaweza kuelewa kuwa Chama kilikodisha Choppa 4 kwa zaidi ya Tzs. bilioni 8 kuendesha kampeni za Mgombea urais (2015) lakini wakashindwa kupata/kutenga bajeti ya Tzs. million 50 kulipa mawakala elfu 5 kusimamia kura za Mgombea urais wao. Hawa jamaa hopeless kabisa. Mwenyekiti na sekretariat wao chao ni dili tu, basi.
Wale Red Brigades kazi yao ni nini?Nyie CHADEMA sikilizeni....amkeni sasa.
Anzeni kuwa mnafikiria kwa hatua kadhaa mbele.
Hatua zenye manufaa kwa mustakabali wa chama chenu na viongozi wenu.
Hivi nyie mna idara ya usalama kweli? Kama mnayo, iweje suala la ulinzi kwa Tundu Lissu mlikuwa hamjaona umuhimu wake?
Kwa nini Lissu hakuwa na ulinzi imara wa watu wenye silaha za moto?
Kwa kweli hapo mmeudondosha mpira. Na kama mna watu wanaohusika na usalama ndani ya chama chenu basi hamna budi kufanya maamuzi magumu na kuwatimulia mbali.
Haiwezekani kiongozi mkubwa kwenye chama kama Lissu asiwe na usalama wa kueleweka.
Sijui mlikuwa mnaitegemea serikali kwenye hilo!
Kiongozi wa juu tena mwenye mbwembwe na cheche kama Lissu kutembea tembea bila ulinzi wa maana ni upumbavu.
Ni upumbavu kwa sababu tayari yeye atakuwa ni mlengwa wa mashambulizi toka kwa wabaya wake. Anapotembea bila ulinzi anakuwa ni shabaha iliyo rahisi sana kuilenga.
Haiingii akilini kwa nini hadi siku ya lile tukio mlikuwa hamjampatia ulinzi huyo mwanasheria wenu mkuu.
Shame on you.
NadhaniUnadhani walikuwa wakimpa?
Kwa hiyo hujui kama walikuwa wakimpa bali unadhani tu, siyo?
Nauliza hivyo ili niweze kujua kama unajua tofauti kati ya kudhani na kujua.
Hahaaa.Wale Red Brigades kazi yao ni nini?
Kwa nafasi ya TL, Hata kabla ya shambulizi alikua na ulinzi.Hapa tunazungumzia emergency preparedness , contingencies etc achilia mbali uwepo wa chombo chenye jukumu LA ulinzi kikatiba, polisi. Hats kama wangekuwa hawatumiki kisiasa bado upinzani unatakiwa kuwa consciously alarted muda wote
Kwani Dr. slaa anafanya nini?Wanabaki wanajibaraguza na kujifaragua, kama kawaida yao. Hawataki kukubali makosa yao. Ngoja wamalizike mmoja baada ya mwingine ndio wataamka.
Kamuulze.
Leo ndio nimejua rangi yako halisiMbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?
Nyie wafuasi hamna akili kabisa.
Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
Serikali ni ya wananchi sio mali ya CCMCHADEMA wanashangaza sana.
Wana mentality ya utegemezi.
Utegemezi wa serikali ya CCM.
Sijui wataamka lini tu!!
Kwahiyo jeshi lote la Tanzania ni la ccm sio wananchi tena!?CHADEMA wanashangaza sana.
Wana mentality ya utegemezi.
Utegemezi wa serikali ya CCM.
Sijui wataamka lini tu!!
You have strikethroughs again. Was this intentional or a quirky glitch?Hahaaa.
For my money, they are just a ragtag copycat of CCM's Green Guardwho have no training in VIP protection.
If they did, where were they?
How could they let such a high profile leader go about without a protective security detail even after he went public with his fear that he was being followed around by some car?!!
From the looks of it even the vehicle he was in doesn't appear to have been an armored one!
This should be a wake up call for them to reevaluate their security measures.
Huh...weird coz I used the JF app from my phone.You have strikethroughs again. Was this intentional or a quirky glitch?
What's up with that?
You have strikethroughs again. Was this intentional or a quirky glitch?
What's up with that?