Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,542
Kila jambo na wakati...Wape ushauri
Kwa hili wataamka sana.CHADEMA wanashangaza sana.
Wana mentality ya utegemezi.
Utegemezi wa serikali ya CCM.
Sijui wataamka lini tu!!
Ya ccm yanawashinda unadhan ya chadema utayaweza? Pambanen na hal zenu za kwetu mtuachie wenyewe.
Ya ngoswe mwachie ngoswe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie CHADEMA sikilizeni....amkeni sasa.
Anzeni kuwa mnafikiria kwa hatua kadhaa mbele.
Hatua zenye manufaa kwa mustakabali wa chama chenu na viongozi wenu.
Hivi nyie mna idara ya usalama kweli? Kama mnayo, iweje suala la ulinzi kwa Tundu Lissu mlikuwa hamjaona umuhimu wake?
Kwa nini Lissu hakuwa na ulinzi imara wa watu wenye silaha za moto?
Kwa kweli hapo mmeudondosha mpira. Na kama mna watu wanaohusika na usalama ndani ya chama chenu basi hamna budi kufanya maamuzi magumu na kuwatimulia mbali.
Haiwezekani kiongozi mkubwa kwenye chama kama Lissu asiwe na usalama wa kueleweka.
Sijui mlikuwa mnaitegemea serikali kwenye hilo!
Kiongozi wa juu tena mwenye mbwembwe na cheche kama Lissu kutembea tembea bila ulinzi wa maana ni upumbavu.
Ni upumbavu kwa sababu tayari yeye atakuwa ni mlengwa wa mashambulizi toka kwa wabaya wake. Anapotembea bila ulinzi anakuwa ni shabaha iliyo rahisi sana kuilenga.
Haiingii akilini kwa nini hadi siku ya lile tukio mlikuwa hamjampatia ulinzi huyo mwanasheria wenu mkuu.
Shame on you.
Usishangae, hili ni jambo dogo. Unaweza kuelewa kuwa Chama kilikodisha Choppa 4 kwa zaidi ya Tzs. bilioni 8 kuendesha kampeni za mgombea urais (2015) lakini wakashindwa kupata/kutenga bajeti ya Tzs. million 50 kulipa mawakala elfu 5 kusimamia kura za mgombea urais wao? Hawa jamaa hopeless kabisa. Mwenyekiti na sekretariat wao ni dili tu kila mahali, basi. Kwenye kukodisha choppa (hakuna accountability) kulikuwa na dili; bajeti ilipatikana, lakini kwenye kuwalipa mawakala (obvious accountability) bajeti hakuna! Halafu hao uwakabidhi dola, watakomba hadi nywele za VIKONGWEKiongozi wa juu tena mwenye mbwembwe na cheche kama Lissu kutembea tembea bila ulinzi wa maana ni upumbavu