Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Wana JF,
Ni jambo la kushangaza kwa huu utamaduni mpya wa wafuasi wa CDM wa kutoa hukumu za kesi za uchaguzi ziwe vipi hata kabla ya kesi kutajwa.
Tumeona kwenye kesi ya Lema kule Arusha CDM walitoa hukumu mapema kabla kabla ya kesi Lema alivyoshindwa kesi wakaanza kulalamika kuwa Jaji katumwa na Ikulu.
Kule Sumbawanga CCM walivyoshindwa CDM hawa hawa wakamsifia Jaji kuwa katenda haki.
Kule Singinda Mashariki Tundu Lissu aliyotangazwa na Jaji kuwa alishinda kihalali hawa hawa CDM wakamsifia Jaji kuwa katenda haki.
Jimbo la Segerea Jaji aliyomtangaza Makongoro kuwa alishinda kihalali hawa hawa CDM wanasema Jaji katumwa na Ikulu.
Wana CDM kukubali kushindwa ni kujenga utamaduni wa kuheshimu sheria za nchi.