CHADEMA Jaribuni kuwa Smart kidogo!

Hawa ndio aina ya watu wenye mentalality primitive kweli,wao hata Rais akija kuwachukulia mke wanamsindikiza kwa sifa na mapambio.Wao wanaamini Rais ni kila kitu.
 
Usipofuata sheria na unaona wanaopenda sheria ifuate kwa nguvu zote basi ujue lazima uwe na mawazo kama.yako.Hata JKN alituasa watanzania kwamba Rais asiyefuata sheria akavunja katiba aliyoapa kuilinda hatufai kamwe.Hatukusikia ndiyo sababu tunapata watu wenye akili za kushikiwa kama zako.Pole.
 
Mleta uzi uko sahihi sana lakin baadhi ya watu ni vichwa panzi na vilaza kupindukia. Raisi ni taasisi kubwa sana inayohitaji heshima ya pekee. Watanzania achen mabishano + siasa zisizo na maana pigeni kazi kwa maendeleo yenu na nchi kwa ujumla.
Rais Magufuli wangekuwa Rais wa Watanzania tungemuona kulingana na matendo yake.Na kwasababu ya Matendo na matamshi yake ametuonyesha watanzania yeye ni Rais wa wanachama wa CCM tu.So endeleeni kumwombea na kumtukuza kama Mungu.
 


Sugu bila aibu alisema eti Magufuli aende nje akajifunze kwa marais wengine! anazungumza utumbo huo bungeni na anapigiwa makofi na wanachadema!!!

sugu hajawahi kujiuliza kwa nini vikao kama hivyo havifanyiki Tanzania?

Katika hili la kuwa na gubu la uchaguzi litawatesa sana chadema; maana mlitakiwa kupambana na magufuli kwa kuwasumbua wasaidizi wake sana na kuibua tuhuma kila kukicha na kum confuse magufuli awe anawabadilisha kila siku; that was the only option kwa aina ya watu kama kina magufuli

Lakini last time i checked hakuna brain ndani ya chadema, wenye akili waliishaondoka, wamebaki wapiga dili na kubwabwaja


hata kama mtajitetea mmechaguliwa na watu wamewaweka bungeni, i strongly believe they did so because they were desperate and confused! not because they were smart enough kumchagua kubwa jinga kama sugu
 
Acha kuleta uongo huku....fikiria kuwa umekuja kwenye jukwaa la great thinkers .....Jiji la Dar limekuwa chini ya ccm miaka mingi mpaka leo kipindupindu kinaanzia kule ....halafu kama hupendi siasa ww mnafiki umefuata nn huku kwenye jukwaa la siasa...kagasheki mteule wa ccm hapa bukoba alifanya nn mpaka watu wamkumbuke ?? Nakushauru nenda kule facebook acha kuja huku kwenye jukwaa la siasa kama ww hupendi siasa...kutumia ubabe kwa viongoz wa Africa ndo maana hakuna naebdeleo ,hapo Dar es salaam kuna ufisad mkubwa ndo maana makufuli anaogopa kutumbuliwa......yeye na chama chake......
 
Kwa hiyo hapa unatudhibitishia kwamba hata ishu ya Richmond ilifanyika kwa ufahamu wa asilimia mia wa Kikwete sio? Si rais ni kila kitu na hakuna jambo linafanyika hapa nchini bila yeye kuridhia sio?
QUOTE="Barbarosa, post: 15429454, member: 284899"]
Vyovyote vile unavyotaka kuiita lkn huwo ndiyo ukweli, na ktk mazingira kama haya watu smart huutambua kwanza huo ukweli halafu ndiyo huangalia jinsi ya kuishi nao!
TanZania Raisi ni kila kitu, hauwezi kumzunguka kufanya kitu bila ya yeye kuridhia na huwo ndiyo ukweli!
[/QUOTE]
 
Nikweli si busara kumkejeli rais wetu kwavitu vya kipuzi, mtu dokta asijue kingreza vp? Akikutana na mabalozi anaongeaga kiskuma?
chadema yenyewe nani anikijua vizuri hâta Lisu sio fluent kiivyo...
 
Nikweli si busara kumkejeli rais wetu kwavitu vya kipuzi, mtu dokta asijue kingreza vp? Akikutana na mabalozi anaongeaga kiskuma?
chadema yenyewe nani anikijua vizuri hâta Lisu sio fluent kiivyo...

Ni lini ulimsikia akijibizana na mabalozi? Au una maana ya mabalozi wa nyumba kumi?
 
Sasa hoja hapa ni kunyenyekea na kujipendekeza ili upewe haki yako ama nini? Wana wa nchi hii tumefunzwa vibaya sana yaani kila kitu lazima uwe mnafiki.
 
very poor argument kuhusu rwakatare...kwani alipata asilimia 100 ya kura? hujui kuwa Wapo ambao hawakumchagua na wanaweza kuongea watakavyo.

tatizo la nchi yetu ni katiba inayompa rais madaraka makubwa sana na kupalilia maadili M abovu...
 
Hongera. Ushaingiza siku.
Tunajua wanaojifanya chadema Ni wale fisiem waliotumbuliwa. Mbona sisi chadema hatuna shida na Magufuli maana anatekeleza tunayotaka.
Na naona unaandika Kama vile sasa unamshauri awe mwanasiasa.
Buku 7 yako baadae msoga.
Ni kweli kuwa wanachama wa kawaida wa chadema shida yao ni maisha bora tu, na mtoa thread wala hakuwalenga hao, tatizo lipo kwa waliotaka kunufaika na matatizo ya WaTz, wale waliojipa matumaini kuwa lazima this time waingie ikulu, wale ndio hawataki kukubali kuwa ikulu imeshindikana, na wamekuwa wakiongea vitu vya ajabu kabisa
 
Hii nchi inawatu wajinga sana yani ww ili akili yako ifunguke inahitaji darasa la peke yako. Humu jamii forum saa nyingne kunatia aibu kama kuna watu uko nje wanasoma thread za kipuuz kama hizi
 
Sio poor argument, na wala sio Kwamba nasema rwkatare hafai, ila sasa hivi kwa hali ilipofikia sio rahisi kujenga hoja iliyo negative kuhusu raisi na watendaji wake watu wakakuelewa kirahisi, JPM ameanza kufunika asilimia kubwa ya maovu yaliyokuwa polotical gear ya upinzani kupatia poporality , so whatever UKAWA wants to say must be very logical than comedies and similies
 
Ndiyo maana yake hapa TanZania raisi ndiyo kila kitu unaweza kupinga kama ukitaka lkn ndiyo hivyo, bila Raisi hakitembei wala hakisogei chochote, na smart people wanajua hilo, lkn chadema siyo smart people na ndiyo hawataweza kutoboa!


Nakubaliana na unayosema mleta uzi kwani wewe ni kada wa ccm hivyo sitarajii mawazo tofauti na uliyoyaleta hapa jukwaani. Ninachojaribu kukiona kwenye mawazo ni ile tabia iliyojengeka kwa muda mrefu toka kwa wanaccm wengi, kwamba bila kujipendekeza hautoki hata kama huna uwezo. Na ili ufanikiwe nidhamu ya uoga na unafiki ni muhimu. Kwa sehemu kubwa nimeona wanaccm mkijaribu kutumia kivuli cha rais kama sehemu ya ubora wa chama kizima cha ccm. Hivyo kitendo chochote cha ukosoaji kwa upande wa rais wote mnakitafsiri kama rais kutusiwa. Hapa jukwaani kuna watu wengi, iweje muone wanaomkosoa, kebehi na hata kumtusi rais ni wanacdm. Una uhakika gani wanaccm wote wanaridhika/furahishwa na anachofanya Magufuli? Kumbuka mengi ya majipu yanayotumbuliwa mengi aidha ni zao la ccm ama yana uhusiano wa moja kwa moja na ccm. Katika mazingira haya unawezaje kusema tena kwa uhakika kwamba ni wanacdm?

Huu uzi wako umeuleta kama sehemu ya kufuta aibu ya huo ubakwaji wa demokrasia unaofanywa na ccm hapo kwenye uchaguzi wa umeya tena mbele ya rais aliyejinasibu kuwa ni mpenda haki na mcha Mungu. Sasa unachotaka hapa ni eti ili cdm wapate huo umeya sio suala la kura bali kujipendekeza kwa rais kama tabia ya wanaccm wengi ilivyo. Ila kiukweli ni kwamba hapo Dar ccm wanaogopa sana ikiwepo Magufuli dhidi ya uchafu uliofanywa na wanaccm na wanaogopa upinzani utapata sehemu ya kuonyesha ubora wake kitu ambacho sio Magufuli au wanaccm wako tayari kwa hilo. Kwa hiyo unataka wacdm waende kwa rais wakajipendekeze ili wapewe mipaka ya majipu gani ya kugusa na yapi ya kuacha. Ki ukweli sakata hili la umeya na uchaguzi wa ZnZ umetuacha tunaoona kwa jicho la mbali jinsi rais na wanaccm:
  1. Wasivyopenda wala kutii demokrasia kwa lengo la kutaka kusifiwa tu.
  2. Wanavyotaka kutumia utendaji wa rais kama kick ya kuua upinzani
  3. Jinsi walivyoshinda uchaguzi mkuu kwani kila mbinu yenu sasa iko hadhari huwa mnashinda vipi
Kama ndio rais na ccm mlivyojiandaa kuua upinzani kwa kubaka demokrasia hilo mtafanikiwa kwani mna nguvu ya dola na wala sio utendaji bora kama mnavyotaka watanzania ni jumla iamini. Pia hilo linalofanyika ni hatari kwa Magufuli bila yeye kulitambua, kwani iwapo ccm itafanikiwa kubaka demokrasia hata yeye atatawala kwa shida kwani wahanga wa majipu ni wanaccm hivyo watampiga chini kwani hawako tayari kunywang'wanywa tonge mdomoni. Na iwapo upinzani utakufa kwa nguvu ya urais na sio ubora wa maisha basi nchi hii itarudi kwenye uchafu uleule uliokuwepo kwa chama kilekile kilichootesha majipu na sasa kujifanya ndio madaktari wa majipu yao.
 
Hivi nyie mbweha wa lumumba kwani msipo itaja cdm hamuwezi kuendelea na maisha yenu ya kila siku?wachana na habari za cdm.mbona hamuwaongelei vyama vingine vya upinzani?au kwa sababu mlijaribu kuiua cdm kama nccr ya mrema na tlp ya mrema?cdm ni chama chenye mkono wa mungu na mjue kuwa hamtakiweza nyinyi wala viwavi
 
Hongera. Ushaingiza siku.
Tunajua wanaojifanya chadema Ni wale fisiem waliotumbuliwa. Mbona sisi chadema hatuna shida na Magufuli maana anatekeleza tunayotaka.
Na naona unaandika Kama vile sasa unamshauri awe mwanasiasa.
Buku 7 yako baadae msoga.
Mkuu ogopa sana njaa, inawapelekea wana lumumba kujiondoa ufahamu
 
am sure penye "smart" ulikuwa unataka kusema "idiotic".

it's only an idiot ndiye anayeweza kuwa na hii mentality ya eti "rais ni kila kitu".
Mkuu huyo ni idiotic &lunatic
 
Wa tanzania ninaomba mniombee, huyo ndiye kila kitu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…