Chadema jamani!!!

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
3,655
Mm Nilifikiri Chadema Wakorofi Bungeni tu, Kumbe Mpaka Hotelini.!!
Jana wakati wanakula walianza (Wenje) Mwongozo wa Mwenye Hotel, chumvi haitoshi.

Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi unaonekana wa Jana siungi Mkono Hoja ya Kulipia Chakula hiki.

Tundu Lisu: Mwongozo mwongozo, Niliagiza kuku wa kienyeji Nimeletewa wa kisasa silipi, na...

Zito: Tume iundwe kuchunguza kama kweli mchele huu ni wa Mbeya!!! au kilosa town.
 
umemuomba jaquar lakini ruhusa ya kuweka hii thread ambayo yeye aliiweka jana tu?
 
Back
Top Bottom