CHADEMA itashinda kwa kishindo Arumeru - Dr Slaa

Umesoma shule gani wewe?
Ulipata division ngapi o-level?
Vmimi napata wakati mgumu unapomuuliza mwenzako" kiingeleza alifaulu" badala ya kusema kiingereza, sasa na wewe kiswahili ulifaulu?
 

Umefilisika mawazo ndugu!
 

Alisema maneno hayo hayo uzini.
Lakin matokeo ndio jibu la yote.

 
Hata Uzini Slaa alisema CDM itashinda kwa kishindo!!!
Labda nako CCM walichakachua matokeo!!

Mkuu haya ya Uzini Dr. Slaa hajayasema, ni wewe tu ndiyo unataka kuudanganya uma wa kitaanzania, mimi nilikuwa pale kwenye uzinduzi, hali halisi tuliiona, na kibaya zaidi C** wakaanza propaganda ya Udini, kwa kweli inatia hasira sana.
wapiga kura wakatishwa kuwa sasa Ukristo ndiyo unatia nanga Bambi - Uzini, kweli C** hawakututendea haki na siku ya siku Raza akapewa ushindi ambao ulijengwa kwa misingi ya udini.

Siku yaja hapo ndugu zetu Zanzibari watakapojitambua. ni jambo la
 

Nadhani katika watu wanaotumia makalio kurikiri wewe ni mmoja wao! Wabunge wa CHADEMA watapelekaje hoja bungeni ya kutekeleza ilani yao wakati hawapo madarakani?
 
Pale CCM wakamweke Mzee Kingunge labda watashinda..Zaidi ya hapo kulaladek..Natamani kazi ianze kesho
 
Alisema maneno hayo hayo uzini.
Lakin matokeo ndio jibu la yote.


Cha msingi wananchi wa Arumeru watambue utu wao na waepuke fitna zote za udini kama tulivyoshuhudia kule Uzini na Igunga
 
Ushindi kwa CHADEMA jimboni Arumeru unakaribia kwa sasa kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…