CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

Sawa tuko mlangoni tunasubiri hata usipotumia nguvu kubwa kujibu hoja ndogo kama hiyo
 

Unaongea kama ulieshtuliwa na fisi! Mzee wako ww, alielaaniwa na kanisa, Mungu na hata shetani mwenyewe anamhanya na kishamlaani na yeye!!
 


Mwelezeni huyo SLAA kuwakwa mtindo walioutumia CCM kwa wizi uliobobea pamoja na yeye kuwaunga tela baada ya kupokea mshiko mzito! HATA yeye angeliingia kwenye kinyanganyiro yote yangebakia kuwa haya haya yaliyotokea asingeliweza kufikisha hata hizo wanazozusha za uongo kwa EL! Na asingelishinda kabisa pia kwani hawa wanaojiita washindi ni wapiga dili la namba sana miaka na miaka! na sasa yuko bwana mdogo JM ambaye ana roho ya ajabu haielezeki!!
 
Slaa anasubiria kupeewa uwaziri ndani ya serifkali iliyojiibia namba za ushindi. kweli na Slaa unaweza kukubali waTanznaia watakueona wa ajabu na usiewataakia mema!!
 
Dr. Slaa ni mkatoliki mwenzetu na wakatoliki ndio privilage group hapa tz lazima apewe mapokezi ya nguvu. Pengo nae atakuwepo tujitokeze kwa wingi

Hoja kama hizi c nzuri sana kuzizoea, nakushauri hata wewe achana nazo, usijitanabaishe kwa dini yako hasa unapoingiza suala la kisiasa, je wasio wa dini yako wasiwepo au!!!!!
 
Kama ni usaliti kwa wapenda mabadiliko ya kweli UKAWA waliufanya kwa kumkumbatia Lowasa. Na hili siyo tu limeondoa imani kwa vyama husika, bali kurudisha nyuma misingi mizuri ya upinzani. Pamoja na hayo hatuna budi kuanza upya.
 
Kama ni usaliti kwa wapenda mabadiliko ya kweli UKAWA waliufanya kwa kumkumbatia Lowasa. Na hili siyo tu limeondoa imani kwa vyama husika, bali kurudisha nyuma misingi mizuri ya upinzani. Pamoja na hayo hatuna budi kuanza upya.

Kwa nini Chadema wanakuwa na hasira sana ? Chama kinaendeshwa kwa ushawishi , sio kutueleza mambo ya kufikirika ! Chama kwa sasa hakina itikadi , CCM walipoanza kupiga vita ufisadi hata kwa kusema tu , tumewaelewa , Magufuri aliposema atayafunga majizi na fisadi ametukoga mioyo , hii ndio ilikuwa kete kubwa tuliyozoea kuisikia Chadema, sasa walipoiacha wakabaki kuzunguasha mikono tumewabwaga
 
Kumkataa fisadi moja kwa moja bila kubadilika ni ushujaa wake, kuisaidia CCM ndo alichemka!

Mkuu hivi alianzisha vipi mazungumzo ya kumleta mtu anaye mkataa? Amini nakwambia ujio wa Lowasa cdm siyo tatizo kwa Slaa bali kuchukuliwa kwa nafasi yake ya kupeperusha bendera ya cdm kwenye uchaguzi ulio pita.
 

Mabadiliko hayo source sio lowassa,kimsingi lowassa ameleta mbwembwe na kafifisha mafanikio makubwa zaidi,vyama kuungana ndio chanzo cha hayo mabadiliko japo hayaendani na matarajio ya muungano.Lazma tukubali kama angesimama Slaa ambacho kingetokea ingekua ni zaidi ya hapo.Tatizo ni uroho wa pesa wa viongozi wa UKAWA.
 

Mpiga deal ni zitto
 
Si ndio huyu mlie mwita Dr.mihogo? Sasa naona hali imebadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…