meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
usiwe na munkali jomba, ni ka muda tu, utamuona zito akiwa chali,
uyu zito kala ela ya ccm yani mpango wa ccm alokuwa akiutekeleza pale chadema umebuma ivo naye lazima nae atabomolewa
wananchi maskini wa kitanzania hatutaki siasa
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Cc Crashwise
siko tayari kuona msaliti analindwa....I say it loud ili wasikie!kama noma na iwe noma!
manake tumechoka!!!!
Zitto kafanya mabaya mengi sana hata hili la kumchafua Mbowe kahusika na soon tutaleta ushaidi humu.
Sipo tayari kuishi na nyoka nyumba moja.
manake tumechoka!!!!
Vimada wa Lema mnashida sana.
Apigwe chini tu ili chama kife rasmiMsaliti lazima apigwe chini. Heri ya mchawi kuliko msaliti.Yuda Iskareote alivyomsaliti Bwana Yesu kwa busu,alilaaniwa, alisema " Heri asingelizaliwa.." Baadaye akajitundika kwa kamba bustanini.Mtu yeyote anayesaliti jamii aliyoaminiwa ni mwuaji,hafai.
Wasaliti wasipoondoka CDM,viongozi wakuu kitaifa wawajibike.