chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,086
- 1,021
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha
Mtafunga kiwanda chenu cha porojo baada ya 25 Oct 2015. Watoa posho wa bk 7 wa Masaki na Lumumba mtatafutana bila mafanikioNikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
haya wee, ccm idumu na izidi kudumu na izidi kutupiga tu manake hatuna namna
1. Wanawake kujifungulia sakafuni
2. Watoto kusomea chini ya miti
3. Watumishi kulipwa mishahara ya hadaa
4. Twiga kupandishwa kwenye ndege
5. Wizi wa escrow
6. Ufisadi wa epa
7. Ufisadi wa richmond
8. Ujangili uliokithiri
9. Mikataba mobovu ya dhahabu
10. Mikataba mibovu kwenye tanzanite
11. Mikataba mibovu kwenye almasi
12. Ubinafsishaji wa bandari, atc, mashamba yanafco, viwanda, nbc nk
13. Huduma duni za afya
14. Huduma mbovu za elimu
15. Ukosefu wa maji
16. Ukosefu wa umeme wa uhakika
17. Gharama kubwa za umeme
18. Kupanda kwa bei ya mafuta ilhali inashuka kwenye soka la dunia
19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi
20. Wawekezaji kutokulipa kodi
21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja
22. Pengo la kukataa rasimu ya katiba mpya
23. Ubovu wa barabara
24. Kugawana nyumba za serikali
25. Mauaji ya daudi mwangosi
31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa kiwira
32. Yusuf marope kutumia bilioni 5 uchaguzimdogo wa tarime
33. Ufisadi wa deep green
34. Ufisadi wa meremeta
35. Mabomu ya arusha
36. Uvamizi wa vituo vya police
37. Ununuzi wa mv dar es salaam kifisadi
38. Mabehewa feki ya treni
39. Ununuzi wa ndege ya rais
40. Mikataba 17 ya kichina
41. Kushamiri kwa biashara ya sembe (madawa ya kulevya)
42. Usafirishaji wa meno ya tembo
Uambie moyo wako na akili yako hao mafisadi walio baki ni washirika wa nani? Je miongoni mwa uliowahi kuwasikia wakitajwa ni yupi anaambatana na Pombe?
I can imagine common sense is not common!
Taifa ni zaidi ya chama watanzania wenzangu....tusidanganyike.
Hii inachekesha kama si kusikitisha. Tunapo ongelea ufisadi waCCM, tuna maanisha EPA, RICHMOND, ESCROW, TANGOLD na mengine mengi. Nyie mnamng'ang'ania Lowassa kwa RICHMOND! Hao wengine ambao wako bado CCM vipi? Au RICHMOND ndiyo ililamba pesa nyingi kuliko ESCROW? Ni mahaba ya CCM, vichwa vya nazi au buku tano?
radar mbovu
Haya wee, ccm idumu na izidi kudumu na izidi kutupiga tu manake hatuna namna
1. Wanawake kujifungulia Sakafuni
2. Watoto kusomea chini ya Miti
3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa
4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege
5. wizi wa ESCROW
6. Ufisadi wa EPA
7. Ufisadi wa RICHMOND
8. Ujangili Uliokithiri
9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu
10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite
11. Mikataba mibovu kwenye Almasi
12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk
13. Huduma duni za Afya
14. Huduma Mbovu za Elimu
15. Ukosefu wa Maji
16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika
17. Gharama kubwa za Umeme
18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia
19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi
20. Wawekezaji kutokulipa kodi
21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja
22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya
23. Ubovu wa barabara
24. Kugawana Nyumba za Serikali
25. Mauaji ya Daudi Mwangosi
31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira
32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime
33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta
35. Mabomu ya Arusha
36. Uvamizi wa vituo vya Police
37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi
38. Mabehewa Feki ya Treni
39. Ununuzi wa Ndege ya Rais
40. Mikataba 17 ya kichina
41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)
42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo
Nani wa escrow anayegombea urais?
Hata mkiweka nta tutatumia bomba kuwazibua masikio na muelewe
Na uvimbe upasuke...Mizoga kutoka ccm iko meza kuu ya chadema ngastuuka!
Ikulu ya conekry...Hii tamthilia iko season ngapi vile?I mean baada ya tamthilia ya matumaini.
CCM wametoa boriti za ufisadi kwani hujui au unafunika kichwa kama mbuni?
Magufuli jana kasema mabadiliko hayaji kwa kuzungusha mikono....hata kichwa au hata kuzungusha kiuno....
NI KAZI TU...
Ukiwa kijana mzalendo halaf unaishabikia ccm si unaonekana punguan!
Haiingii akili kuita chadema fisadi kwa sababu ya Lowasa wakati alipokuwa ccm mlitumia nguvu kubwa kumtetea!
Ccm ni fisadi, wanachama wake mafisadi, mfumo wake wa kifisadi inaongoza serikali ya kifisadi!
Nawashangaa watakaoshindwa kupigia cdm kura kwa sababu ya ufisadi huku wakipigia debe ccm! Huo ni unafki kwa watanzania
Anna Tibaijuka yupo chama gani?chenge nae yupo chama gani, Muhongo nae vip?
CHADEMA ni peoples's super power hujakosea.Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU