CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

Uda

Swali jepesi Hivi huu ufisadi unaoendelea wote umesababishwa na lowasa tu? Basi hii nchi inaelekea kubaya kama mtu mmoja ameweka taifa zima mkononi na hakuna wa kumchukulia hatua.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Uda
RUZUKU CCM WALIWAAMBIANNINZA KUJENGEA UNACHOKIITA MAKAO MAKUU YA CHAMA??
Unazungumzia MM KUKUFEEL WW MM NI MWANAUME RIJALI KWANINI NISIKUFEEL KAMA VP NI PM BASI
 
Toa boriti kwanza zilizomo ndani ya ccm ndo mpate uhalali wa kusemea boriti iliyopo kwa jirani yako

Is that a justification to take the grand fisadi?...kwa hiyo chadema imeamua kuunga mkono ufisadi?
 
 
unajiita kijana mzalendo avacha uliyo weka si yako uzarendo wako upo wapi?? Kama umeanza umista bin mapema hivyo
 
Toa boriti kwanza zilizomo ndani ya ccm ndo mpate uhalali wa kusemea boriti iliyopo kwa jirani yako

CCM wametoa boriti za ufisadi kwani hujui au unafunika kichwa kama mbuni?
 
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha

Endelea kutafuta bikira kwenye wadi ya wazazi. Pole! History only tells, where you come from BUT NOT where you are going. Lowasa oyeeee
 
Uda hahaaaa haaa Guinea Bissau. Wakati matokeo yakitangazwa mtasema ni kura zilizopigwa Congo.
 
CCM wametoa boriti za ufisadi kwani hujui au unafunika kichwa kama mbuni?

Safi saaana. Kuna wimbo; toa kwanza boritiiii, kwenye jicho lakooo, ndipo utaona kibanziiii, kwenye jicho la mwenzakooo...Haya upesi chadema katoeni maboriti yenu upesi anza na Edo, Sumaye kisha pitia na Gwajima
 

Ndiyo maana ukaitwa UDA maana ni wizi mtupu. Mil 230 kununua kampuni yenye Mabasi zaidi ya 100!

Masaburi yako.
 
Mafuriko hayajakupitia...?huwa kwetu mafuriko huchukua matunguri na laana zake zote....
 

Amehongo nyumba zetu hakuna nafasi zaidi ya ile yake.
Alichoma nyavu akidhani anakomoa watu kumbe anajikomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…