funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,421
- 31,922
Kwa wanaotaka ccm itoke madarakani kwa njia yoyote basi wangewashauri Chadema kumchukua Makongoro Nyerere na sio mtu mwenye kashfa ya ufisadi.
Kete hii ingewafanya chadema waweze kupeleka mashambulizi yao kwa ccm wakitumia ajenda ya ufisadi.
Kosa walilofanya ni kumchukua mtu asiyetaka kuitumia ajenda ya ufisadi ambayo imewafanya wajulikane na kupendwa na wananchi kwa kiwango cha hali ya juu.
Makongoro asingeleta mgawanyiko ndani ya Chadema ambao kwa sasa ni vuta ni kuvute kati ya Chadema asilia waliokitoa chama mbali kwa hali,mali,damu na uhai dhidi ya chadema nguvu ya fedha ambao wengi wametokea ccm wakiambatana na lowassa.
Majuto ni mjukuu...kwani chadema imepoteza nafasi muhimu ya kuingia ikulu.