CHADEMA ingemchukua Makongoro Nyerere ingeshinda uchaguzi!

CHADEMA ingemchukua Makongoro Nyerere ingeshinda uchaguzi!

Pyeeeeee! Wasaliti wakubwa nyiye Leo Dr slaa mnamlinganisha na huyo fisad wa nchi mmewatoa watu wenye hakili zao mmebakiza pumba mtakuja kulia na kusaga meno yenu barazan kwa rowasa kaeni na mfa maji wenu huyo ukawa hoyiiiiiii
 
Huyo mlevi wa nini?hata baba yake alimshindwa,anapigwa picha guest!
 
Mbona ccm hawajamchujua awe mgombea wao ili washinde
 
Najua ukawa mtafurahi hata kwa kuisoma namba ikulu ilee kwa mbali mtaiona gazetini.. .
 
Back
Top Bottom