Mtu mwenye akili zake timamu lazima aunge mkono Serikali 3 maana ndio njia pekee ya kunusuru Muungano maana Serikali 2 iliganda kwenye tope na Serikali 1 ni ndoto
kwani ni lazima kila mtu aunge mkono Serikali tatu? Inawezekana wale wanaodai serikali moja wana hoja zaidi kuliko wanaodai serikali tatu. KUtofautiana huku haina maana wenye kudai serikali tatu basi wanaitakia Tanzania mema zaidi kuliko wanaotaka serikali moja.
Ni kweli mkuu.Anayeipinga hana nia njema na Taifa hili.
Mbona mnapingana na mshauri wenu wa chama Mzee Mwanakijiji.
Mkuu Molemo serikali tatu ndio mpango mzimaNi kweli mkuu.Anayeipinga hana nia njema na Taifa hili.
Inamaana mbowe anakubaliana na rais kuteuwa mwenyeketi wa tume ya uchaguzi? Anakubaliana jimbo kutoa wabunge wawili? Anapingana na mwanzilishi wa chama chake kuhusu serikali tatu?
MM ushabiki wa CDM umempotezea umaarufu, sasa anatapatapa.
Inamaana mbowe anakubaliana na rais kuteuwa mwenyeketi wa tume ya uchaguzi? Anakubaliana jimbo kutoa wabunge wawili? Anapingana na mwanzilishi wa chama chake kuhusu serikali tatu?
Wewe unafikiri kwa vile umejiwekea avatar ya magufuli ndio utaweza kuanalyze mambo kama MM? wewe jukwaa linalokufaa ni jokes na udaku tuuMM ushabiki wa CDM umempotezea umaarufu, sasa anatapatapa.
kwani ni lazima kila mtu aunge mkono Serikali tatu? Inawezekana wale wanaodai serikali moja wana hoja zaidi kuliko wanaodai serikali tatu. KUtofautiana huku haina maana wenye kudai serikali tatu basi wanaitakia Tanzania mema zaidi kuliko wanaotaka serikali moja.
Mkuu Molemo serikali tatu ndio mpango mzima
MM hajawahi kutapatapa hata siku moja. Uwezo wako wa kukokotoa meseji zake MM tu ndo tatizo ulilo nalo wewe. Unao uweza kutofautisha meaning na implied meaning katika kila tamshi la kisiasa wewe? Au we unafikiri kila yes ni yes na kila no ni no... Mwache Mzee Mwanakijiji. apumue
Sio Kweli kuwa watu wanaipenda tatu isipokuwa wanajua ikija itasaidia kuvunja muungano kama ilivyotokea URUSI ENZI YA AKINA YESTIN hivyo wanataka serikari angalau kuepuka kuilea ZanzibarMtu mwenye akili zake timamu lazima aunge mkono Serikali 3 maana ndio njia pekee ya kunusuru Muungano maana Serikali 2 iliganda kwenye tope na Serikali 1 ni ndoto