Narudia tena, Samia ni Rais hadi 2030. Msipoteze muda wenu jiandaeni kwa uchaguzi 2030. Kinachoendelea nchini kinamuongezea umakini tu basi na kuongeza bajeti ya ulinzi kwa kupunguza bajeti ya maendeleo ya wananchi.Narudia, punguza utoto dogo.
UVCCM mnapambana, naona mmekuja na new strategies, oops literally it's kind of same strategy in a different approach, divide and rule of a different format. Making it Lutheran vs Catholic, it's not gonna work and political parties are not religion associations unless if you mean CCM is an Islamic party or rather a Sunni party.Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.
Kwa ccm kudai uchaguzi huru na haki ni kupindua nchi yani hicho chama kingeungana na m7 kiitwe M7CCMkuipundua serikali;
We kwel chokolaaChadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.
Do you mean that Nyerere, Mkapa, Magufuli, Lissu, Kitima are not Catholic? How this happened, only chance? No Sir!!! Hata walutheri wanalijua hili. Hata Wakati Lowassa anataka kugombea kiti cha Urais aliwakumbusha waluteri wenzake wamchague yeye ili iwe zamu yao nao kuongoza nchi. Unadhani wao ni malofa hawalijui hilo? Yaani wewe huujui msimamo wa makanisa mengine; Lutheran, Anglican, TAG, nk juu ya serikali ya CCM na vurugu za oct29?. You are kidding.UVCCM mnapambana, naona mmekuja na new strategies, oops literally it's kind of same strategy in a different approach, divide and rule of a different format. Making it Lutheran vs Catholic, it's not gonna work and political parties are not religion associations unless if you mean CCM is an Islamic party or rather a Sunni party.
Funny fact, ukiona faction ya opposition inasifiwa na CCM iogope kama ukoma.
Genge la wanamtandao, nyie wengine mnatumika kama punda tu kuwaneemesha wanamtandao na familia zao.Ni genge la Nyerere?
Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.
Naunga mkia hoja.Ni rahisi zaidi Kikwete kuhama Ccm kuliko Chadema kurudi kwa mbowe.
Ishi nalo hilo nzi wa kijani.
Wanaoona aibu ni waliopora uchaguzi ama wapi?Tindo bhana, mapinduzi yakifeli wote waliotaka kupindua wanaishia kukosa amani na utulivu kabisa. Wewe subiri utaona mengi.
Do you mean that Nyerere, Mkapa, Magufuli, Lissu, Kitima are not Catholic? How this happened, only chance? No Sir!!! Hata walutheri wanalijua hili. Hata Wakati Lowassa anataka kugombea kiti cha Urais aliwakumbusha waluteri wenzake wamchague yeye ili iwe zamu yao nao kuongoza nchi. Unadhani wao ni malofa hawalijui hilo? Yaani wewe huujui msimamo wa makanisa mengine; Lutheran, Anglican, TAG, nk juu ya serikali ya CCM na vurugu za oct29?. You are kidding.
Hii imeenda sambamba na kuitoa Jf kwenye vpn.Hapa ndio unaona umecheza bonge la mindgame, si ajabu usikie huko Kihongosi anakozunguka kutema shit akasema hiki unachokisema wewe
Tusidanganyane. Hakuna kijana wa Mbagala mwenye akili timamu anaweza kuchoma vituo vya mwendokasi ambavyo vinamsaidia yeye kusafiri na kusafirisha mambo yake. kama yupo kijana kama huyu hana tofauti na mbwa kichaa anaeng'ata watu na mbwa wenzake; hastahili kuwepo kwenye jamii; ni gugu. Kama yupo kijana anaeona anaweza kuishi bila uwepo wa vituo vya polisi kwenye mitaa yao basi kijana huyo sio mzima na hana faida kwa taifa, wenzake na yeye mwenyewe pia.Weakening tu nabenezezeni udini. Mambo yakiwageuka mnaanza kuwasukumia Wapinzani. Unfortunately Watanzania wameshaamka. Hizi propaganda uchwara hazitafanikiwa.