kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana. Butiku na Warioba wamejichimbia humohumo kupitisha ajenda zao. Chadema ya sasa ni kama chaka lenye viumbe wengi wa aina mbalimbali wenye nia tofauti wakiwemo fisi, nguchilo, nguruwe na mbweha.
Butiku na Warioba wanadhani Tanzania ni mali ya Nyerere; imeanzishwa na Nyerere na wao wanajiona kama walithi halali wa Nyerere. Nao wameduaa sana mapinduzi yale kushindwa kirahisi kama vile na kusababisha watu kupoteza maisha kwasababu yao; ni kama vile nafsi inawasuta. Butiku na warioba wanataka kuwaaminisha vijana kuwa Nyerere alikuwa anaongoza kwa haki na demokrasia kuliko sasa.
Wenye chadema yao; waluteri nyoyo zao zinaungua moto kwa chama chao kutumika vibaya. Chama chao kimo kifungoni. Kama uchaguzi utarudiwa leo nina uhakika kuwa chadema itarudi kwa wenyewe.