CHADEMA inapukutika

CHADEMA inapukutika

Nimepata habari kwamba Mbowe naye kajificha kwenye bunker anachungulia tu. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Chadema inapukutika kama njugu​

huku CCM tunaizungumzia Chadema kila siku kwani inatupa hofu maana inaonekana wanaoi support kimoyomoyo wapo wengi sana (wengine wapo ndani NEC yetu).
 
huku CCM tunaizungumzia Chadema kila siku kwani inatupa hofu maana inaonekana wanaoi support kimoyomoyo wapo wengi sana (wengine wapo ndani NEC yetu).
''Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.''
 
''Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.''
Hawa majamaa bwana wakitoka mpaka wapige moyowe; ni sawa na mtu anaeachana na mke wake alafu anaanza kumueleza vibaya kwa watu; huo sio ustaarabu.
Wewe sepa unapokujua? chama kama kimekuboa kiache. Wewe huo ukatibu wa mkoa ungekuwa ccm unazani ungeupata kweli?
 
Back
Top Bottom