CHADEMA inapendwa jamani

CHADEMA inapendwa jamani

Kuna watu wa magamba wanakataa kukubali ukweli, wanajipongeza kwa ushindi wa kuiba kura kwa hila mbalimbali. na wakiwa na kata tano mbili zikachukuliwa na CDM au upinzani wanasema wameshinda ushindi wa kimbunga.
 
inapendwa lushoto kwani mbunge wa hapo nani ni ccm au chadema diwani je fikiri ukipata jibu la chama cha mbunge na diwani pamoja na wajumbe ndio kinachopendwa acha kutuongopea wewe

subiri moto wa 2015 , hata magamba ya mpingo yatabanduliwa !
 
thread kama hizi za kupena matumaini ambayo hayapo endeleeni nazo tu, mtakuja lia ukifika uchaguzi wenyewe, kuja kustukia kua inapendwa JF tu,
 
thread kama hizi za kupena matumaini ambayo hayapo endeleeni nazo tu, mtakuja lia ukifika uchaguzi wenyewe, kuja kustukia kua inapendwa JF tu,
Ok ngoja tubadili hii thread mkuu, Magamba yanapendwa sana hapa Lushoto hadi inaleta raha! umefurahii eeenh?
 
CDM NI KAMA HEWA, IKO KILA MAHALI! CCM NI CHAMA CHA WACHUMIA TUMBO, ALAMA YAO YA DOLE INAMAANISHA TUMBO MBELE MAENDELEO NYUMA! Wachumia tumbo mpo?
 
subiri moto wa 2015 , hata magamba ya mpingo yatabanduliwa !

umetisha mkuu, halafu hawa wachumia tumbo ni wachache hapa JF, hata hawafikii 10, hivi hajiulizi ni kwanini wao tu ndo wanaiona ccm ni nzuri?
 
jamani mimi niko Tanga korogwe Chadema ndo habari ya mjini
 
chama cha matamko na ubishi usiokuwa na maana mnataka mchukue nchi muipeleke wapi wakabila wakuu nyie.

povu litakutoka sana we ---- magamba mkubwa wewe,subirin muda ukifka ndo utajua watu wame maanisha kwa Chadema,utajir na rasilimal 2lizo nazo haziendan kamwe na maendeleo yaliyopo maccm wez wakubwa hata huruma hamna??tunasema yatosha ni zam ya chadma 2one watatufkisha wapi.
 
Ukweli ni kwamba umefika wakati wa mabadiliko, haijalishi mbunge au diwani aliyepo ku garantee kupendwa ccm ni kwamba cdm inaibuka zaidi sas kwa watz weng ispokua M4C iliamsha sana kupendwa cdm coz ukipita sehem nyingi tis cdm, kwenye mabasi au daladala safari haikwishi bila kutajwa cdm na uzee wa ccm, cha msingi m4c iendelee kuhamasisha watz ushndi lainiiii 2015.
 
Hapa Mwanza Ccm ni chama cha upinzani cha kudumu!!!
 
Na kwa taarifa tu ni kuwa wao bila kujua wamemkaribisha Obama mtu wa mabadiliko.Fuatilia historia yake popote alipokanyaga pana mabadiliko.Kauli ya OBAMA kuwa "The Change has Come" wkt wa kinyanganyiro cha urais 2008 ni kweli kabisa.Ndio ameleta alipokuja na hili litajidhihirisha wazi 2014/2015
 
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................

Haina ubishi, ukiweka sisiemu na jiwe kwenye uchaguzi nachagua jiwe
 
Huku Mbulu tushaisahau ccm,hadi bibi yangu ana kadi ya CDM yetu pendwa
 
Back
Top Bottom