CHADEMA inapendwa jamani

CHADEMA inapendwa jamani

mtahangaika sana wakuu ccm haifi kwa thread za uzushi kama hizi.

wewe hata ukisema chadema inapendwa na watanzania wote jibu mtalipata kwenye sanduku la kura na mzee wenu anazidi kuzeeka mtaipata tu itabidi muandae pempasi mtatikiswa sana na wenye roho ndogo hamtavuka.
Mkuu nimekupata kwa kweli wanajisumbua tuu CDM bado sana, hata wenyewe wajua hilo
 
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................

Hamna kitu hapo mnajisumbua bure chadema haiwezi pendwa Lushoto kamwe
 
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................

Wee akili yako nahisi itakuwa Ina shida Je utafiti gani umefanya? Sample size yake ilikuwaje? What was ur unit of analysis? Sio kukurupuka tu na kusema CDM inapendwa au laaaa!!! Nenda shule dogo utapata maarifa thabiti na hautakuwa mchumia tumbo
 
mtahangaika sana wakuu ccm haifi kwa thread za uzushi kama hizi.

wewe hata ukisema chadema inapendwa na watanzania wote jibu mtalipata kwenye sanduku la kura na mzee wenu anazidi kuzeeka mtaipata tu itabidi muandae pempasi mtatikiswa sana na wenye roho ndogo hamtavuka.

Wewe naona bado sana kufuzu somo la uraia eti urais wa CHADEMA ni Dr Slaa tu, kwa mtizamo wa mzalendo yeyote wa nchi hii CHADEMA ndiyo mwisho kwani kuna WAPIGANAJI wa kweli nyuma ya Slaa kuliko unavyojua.
 
Wee akili yako nahisi itakuwa Ina shida Je utafiti gani umefanya? Sample size yake ilikuwaje? What was ur unit of analysis? Sio kukurupuka tu na kusema CDM inapendwa au laaaa!!! Nenda shule dogo utapata maarifa thabiti na hautakuwa mchumia tumbo

Na huyu je aendee wapi? So I would say the visit of President Obama to Africa consolidates existing relations, but also advances them to greater heights for mutual benefits of our two countries and our two people ....jakaya.
 
Nimepita maeneo ya nyororo,,,mafinga,,rungemba,,, hadi migoli huko iringa vijijini,gumzo ni chadem; pamoj na TISS haswa mwigulu kutumia nguvu za ziada kuupinga ukweli;

Cdm inapendwa bure bila gharama.
 
Unaongelea Arusha au Kilimanjaro?

mkuu Ritz
Machizi wanajiliwaza waangalie Egypt pale ndio utajua unapendwa au unachukiwa; watanzania wapo wanakula bata wao taratibu hawana muda na uzushi wa Chadema; hizi wanazoleta ni hadithi za vilinge vya kahawa!
 
Last edited by a moderator:

you are the SI Unit of foolishness
 
Last edited by a moderator:
Hili chama linakubakika na wazee vijana na hata watoto, ni chama la haki kwa watu wote, chadema hoyeeee
 
Wee akili yako nahisi itakuwa Ina shida Je utafiti gani umefanya? Sample size yake ilikuwaje? What was ur unit of analysis? Sio kukurupuka tu na kusema CDM inapendwa au laaaa!!! Nenda shule dogo utapata maarifa thabiti na hautakuwa mchumia tumbo

Naomba nichangie kidogo hapa, nimekuwa lushoto kwa yapata miezi 2 nikifanya utafiti utafiti juu ya maendeleo ya shule ya msingi chini ya client TWAWEZA, nimezungukia yapata kata 10. Naomba kudiklea mi ni cdm, lushoto kwa sasa cdm inapendwa maana kuna vijiji nilikuwa naenda nakuta nyumba ni ya majani lkn juu katundika bendera ya cdm japo nayo inakuwa imechoka sn. Na hapo unakuta hakuna mawasililiano yoyote labda radio tu za betri. Nikawa najiuliz mtu kama huyu anaijulia wapi cdm. Kwa lushoto stand hakika kona nyingi sn kuna bendera za cdm. Naomba usibeze ndg yangu kuna mabadiliko makubwa yanakuja. Nawasilisha
 
inapendwa lushoto kwani mbunge wa hapo nani ni ccm au chadema diwani je fikiri ukipata jibu la chama cha mbunge na diwani pamoja na wajumbe ndio kinachopendwa acha kutuongopea wewe

Tuachane na siasa...hivi umeshapata ajira?
 
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................

mkuu , ni kwamba cdm inasubiri muda tu ikabidhiwe nchi hii .
 
Back
Top Bottom