sukari yao
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 140
- 23
- Thread starter
- #21
Jamani angalia CCM inawauma sana!!
Ewe mpenda mabadiliko eneza sera za CDM ili magamba wazidi kupagawa! Ili ni ombi kwa wananchi wote wapenda mabadiliko! If you dream of New Tanzania, preach, that's all!