chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................
Pumbafu kabisa hizi Takwimu umezitoa wapi?
Naona umechanganywa na ziara ya Obama kama Mwenyekiti wako Mbowe.
Alisahau kuwa wametoa msimamo wa kutoshiriki, kesho yake akajikuta Ikulu.
Hivi nyie Magaidi ni nani ALIYEWAROGA?