CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

Sasa mbona ulikuwa una disqualify ujumbe wa mleta post kuwa hajafanya utafiti bali udadisi....? Kwa hiyo kilombero ni kanda gani we gamba?
Kilombero kuna madiwani wangapi wa Chadema na mbunge wa pale ni nani?
 
Niko hapa Kilombero kwa muda kwani ni msimu wa kilimo;

Nimefanya kaudadisi kadogo baada ya kuona kwa asilimia kubwa toka Mikumi hadi Chita (huko mbele sikuendelea) kuna bendera nyingi pembezoni mwa Barabara ambazo ni za CHADEMA na kugundua kwamba hiki chama kinakubalika sana huku (mm sio mfuasi wake) na kwamba zaidi ya yote idadi kubwa ya madiwani wanatoka chama hiki, hapa Chita nilizungumza na wadau kadhaa wakaniambia moja ya sababu za kuchagua CHADEMA ni kwamba wanakasirika sana umeme unatoka jirani na kwao (Kihasi) halafu unakwenda viunga vingine vya mbali ilihali wao wanawasha vibatari.......sababu nyingine ni kwamba wanaisi wamewekwa pembezoni na rasilimali muhimu za nchi na hasa ubovu wa barabara ambao hata hakuna dalili ya kutengewa fungu japokuwa wao ni wazalishaji wakubwa wa mchele

Watu wa Mngeta na Mbingu wanahasira ya umeme kwenda kwa mwekezaji wa Kilombero Plantation Limited (KPL) ilihali wao wakiambulia jenereta la mhisani mwanakijiji mwenzao

Nimewauliza vipi kuhusu sakata la Zitto linawagusaje na mustakabali wao chamani wakanijibu Zitto atapita na mambo yake lakn CHADEMA itaendelea kuwepo hIvyo wanakaza buti na Chama chao hicho.

Yeyote aliyebahatika/atakayebahatika kutembelea maeneo haya anaweza kuthibitisha haya

Besides; Simba inakubalika sana huku sababu wanachukia rangi ya kijani na njano na ninafanya mpango wa kufungua TAWI

cc: Makoye Matale, Ulimakafu, Mandieta ..................

Waongo hao kama inakubalika mbona walichagua mbunge wa ccm bomu tena papa mteketa .Wandaba wa wapogoro wanafiki sana wakipewa pombe ya mpunga tayari wanachagua CCM
 
Kilombero kuna madiwani wangapi wa Chadema na mbunge wa pale ni nani?

Uchaguzi ulifanyika 2010 na Amavubi kapita 2014 ......hicho kipindi mawazo ya watu yanaweza badilika...kwa hiyo mbunge au diwani sio hoja hapa kinachozungumzwa hapa ni mwamko wa wananchi kukipenda chadema
 
kwani mnasubiri nini kuanzisah chama cha kanda yenu???TANU KILIKUWA CHA KANDA IPI???ASP KILIKUWA CHA KANDA YA PWANI????AU ZANZIBAR??? PUNGUZA UVIVU WA KUFIKIRI WW NI MTU MZIMA.
 
Kaka, watanzania tulinyimwa elimu ya uraia kwa muda mrefu, Dr Slaa na Chadema kwa ujumla, wamefanya kazi kubwa sana ya kutuelimishwa, kitu ambacho ccm hawakuta tuelimike ili waendelee kutunyonya, kwa sasa hatutaki kuisikia ccm tena.
 
kwa kweli kwa elimu ya umma nadhani wamefanya kazi kubwa sana, ila pia masuala yanayowagusa wananchi pia yanafanya watafute kimbilio sijui kama CHADEMA itasikiliza kilio hiki
 
duh, hii kali aisee, natamani waisome waje na majibu ya kijazaba
Waongo hao kama inakubalika mbona walichagua mbunge wa ccm bomu tena papa mteketa .Wandaba wa wapogoro wanafiki sana wakipewa pombe ya mpunga tayari wanachagua CCM
 
chisango unanihamiasisha nikachukue fomu ya ubunge sasa, tatizo sijajua nisimame kwa chama gani.............
Uchaguzi ulifanyika 2010 na Amavubi kapita 2014 ......hicho kipindi mawazo ya watu yanaweza badilika...kwa hiyo mbunge au diwani sio hoja hapa kinachozungumzwa hapa ni mwamko wa wananchi kukipenda chadema
 
nasisitiza kwamba Nyerere aliona mbali kweli
Kaka, watanzania tulinyimwa elimu ya uraia kwa muda mrefu, Dr Slaa na Chadema kwa ujumla, wamefanya kazi kubwa sana ya kutuelimishwa, kitu ambacho ccm hawakuta tuelimike ili waendelee kutunyonya, kwa sasa hatutaki kuisikia ccm tena.
 
chisango unanihamiasisha nikachukue fomu ya ubunge sasa, tatizo sijajua nisimame kwa chama gani.............

Mkuu Amavubi kuna dada katia nia huko lkn sio vibaya ukatumia haki yako kuingia kwenye kinyang'anyiro ila sikushauri kupitia ccm hao ni hodari wa mizengwe
 
Wakazi wa kiombero hususani ifakara wameanza kuamka, ni ule uchaguzi mdogo wa juzi tu wamadiwani chadema ilishinda kata ya mtoni huko ifakara
 
ngoja tuone kama Katiba ya Tanganyika itakua na kipengele cha Mgombea Huru
Mkuu Amavubi kuna dada katia nia huko lkn sio vibaya ukatumia haki yako kuingia kwenye kinyang'anyiro ila sikushauri kupitia ccm hao ni hodari wa mizengwe
 
Back
Top Bottom