CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

nimewakubali sana mkuu, pale Ifakara wamekamata karibu Kata zote
Wakazi wa kiombero hususani ifakara wameanza kuamka, ni ule uchaguzi mdogo wa juzi tu wamadiwani chadema ilishinda kata ya mtoni huko ifakara
 
kama ni dada nitampisha mkuu besides majukumu yangu hairuhusu kuwa na chama
Mkuu Amavubi kuna dada katia nia huko lkn sio vibaya ukatumia haki yako kuingia kwenye kinyang'anyiro ila sikushauri kupitia ccm hao ni hodari wa mizengwe
 
karata nzuri ya kuwin majority ni kugusa kwenye matatizo yao ya kila siku, huu ndio wasia wangu iwe ni CCM ama CHADEMA, udadisi wagu umeligundua hilo kwa wakaazi wa maeneo haya
 
Nitafsirie mkuu chadema bdo haijanipa kozi y kizungu

kimsingi si neno la kidhungu tu bali ufafanuzi wake una tafakuri ya kimantiki; kwamba unachukua jumla ya mambo mengi kisha unahitimisha kwa kupata jambo mahususi kati ya hayo mengi; mfano kufungwa kwa timu ya soka........sababu zikawa nyingi lakn mwosho mkasema hali ya hewa......au kocha mbovu (Cardif mfano)

Deductive reasoning ni kinyume chake, kwamba unakuwa na jambo dogo kisha unahitimisha kwa sababu nyingi mfano kiini cha ufisadi ukifanya uchambuzi jadidifu unapata mlolongo wa mambo mengi sana au YANGA ilivyofungwa na Simba wakaamua kutimua kocha, msaidizi, kocha wa makipa hadi dereva........

kwa hoyo wewe pamoja na kwamba kuna vitu vingi vimechangiwa kukuondoa kizani lakn msingi wake (specifically) unasema ni CHADEMA
 
Nitafsirie mkuu chadema bdo haijanipa kozi y kizungu

[h=2]Kubadilisha Mawaziri Sio Suluhisho - Tatizo ni Mfumo[/h]Watanzania wamepokea habari za kung'olewa nafasi za uwaziri kwa Dr. Emmnuel Nchimbi, Dr. Mathayo D. Mathayo, Balozi Khamis Kagasheki na Shamsi Vuai Nahodha kwa hisia tofauti. Kuna wapo wanaosema kuwa baadhi ya mawaziri kama Kagasheki hawakutendewa haki ilhali kuna wanaosema kuwa itakuwa vema kama Waziri Mkuu naye atatolewa na baraza zima la mawaziri kuvunjwa. Swali la kujiuliza hapa ni, je, kuondolewa kwa mawaziri hawa na kuwekwa wengine na hata kama wataondolewa wote na kuwekwa wengine wapya ndio italeta suluhisho la matatizo ya utawala katika nchi hii bila kufanya mageuzi yeyote ya kimfumo? Hivi kweli Pinda anayo madaraka ya kufanya maamuzi makubwa yeye kama Waziri Mkuu ikiwemo kufukuza mawaziri "mizigo" nafasi zao? Hii ni mara ya tatu kwa mawaziri kung'olewa katika kipindi cha utawala wa Kikwete lakini ubadhilifu wa rasilimali za watanzania uko pale pale. Kama Pinda akifukuzwa kazi itakuwa ni mara ya pili kwa Waziri Mkuu kung'olewa, baada ya dhoruba kama hiyo kumpata Lowassa miaka michache iliyopita lakini wizi wa mali za umma na ukiukwaji wa haki za raia viko pale pale. Watanzania wenye nia njema na nchi hii tufike mahali tujiulize, hivi kweli mzizi hasa wa matatizo ya nchi hii ni nini? Ni sera mbovu, viongozi dhaifu au tatizo ni mfumo mzima wa utawala? Je, mageuzi ya kweli (major political and economic reforms) yanawezekana chini ya utawala wa CCM? Kama kweli tunataka kusonga mbele kimaendeleo kuna haja ya kuacha ushabiki wa kiitikadi ya vyama na kufanya majadiliano na maamuzi yawekayo mbele maslahi ya nchi.

Huyu amefanya Deductive Reasoning-from general to particular
 
Wana bodi, kwetu ni kidatu-Kilombero. Ninakubaliana na mleta mada 100% Chadema inakubalika mno huku. Nimezaliwa, nimesomea, nimejengea huku na wazazi wangu wanaishi huku (Chicago- Mkamba).

Tuna matatizo na kero nyingi sana ambazo zingeweza kutatulika kama chama tawala wangekuwa na nia ya kusikiliza na kutatua. Lakini wametudharau kwa kiasi kikubwa hivyo nasisi wana Kilombero hatuna sababu ya kuwa wana CCM.

Tunaipenda Chadema, tunaipa support Chadema na tutaichagua Chadema.

Kilombero - Chadema Forever
 
Ritza anataka utafiti wa kisomi Mkuu

cc Ritz

Mkuu mngejipanga kuleta mabadiliko ya kweli, yaani mwekezaji anaonekana wa thamani kuliko mzawa......
Wana bodi, kwetu ni kidatu-Kilombero. Ninakubaliana na mleta mada 100% Chadema inakubalika mno huku. Nimezaliwa, nimesomea, nimejengea huku na wazazi wangu wanaishi huku (Chicago- Mkamba).

Tuna matatizo na kero nyingi sana ambazo zingeweza kutatulika kama chama tawala wangekuwa na nia ya kusikiliza na kutatua. Lakini wametudharau kwa kiasi kikubwa hivyo nasisi wana Kilombero hatuna sababu ya kuwa wana CCM.

Tunaipenda Chadema, tunaipa support Chadema na tutaichagua Chadema.

Kilombero - Chadema Forever
 
unayajua malori yaliyoandikwa Master ONE? unayajua vizuri? yanabeba nn? ni ya nani? yanawafaidia nn?

Mkuu haya malori tunayaona huku Kilombero kila siku na hatujui ni ya nani ingawa kuna watu wansema chinichini kwamba ni mali ya "Prince".

Ni kweli kabisa mwekezaji amepewa kipaumbele kuliko sisi wananchi. Kuna wananchi wanavunjiwa nyumba zao na kufukuzwa kwenye maeneo yao ili kumpisha huyu mwekezaji. Wananchi wameishi maeneo hayo ambayo walipewa na serikali wakati wa kuunda vijiji vya ujamaa, hivyo familia zimezaana hapo na kuzikana (makaburi) hapo. Leo hii watu wanafukuzwa kama wanyama. kwa mfano kuna vijiji vya Msolwa stesheni na katurukila vilivyo kando kando ya reli ya Uhuru. Wananchi waliletwa hapo kwa ajili ya kuanziasha vijiji vya ujamaa na pia kulinda reli ya uhuru. Sasa leo serikali hiyo hiyo inawafukuza katika maeneo hayo na kumpa mwekezaji, jamani haki iko wapi?

Kilombero - Chadema Forever
 
Back
Top Bottom