CHADEMA inajimaliza rasmi kisiasa

CHADEMA inajimaliza rasmi kisiasa

Kweli Ccm hawamjui adui wao wanadhani ni Cdm

Ukweli juzi baada ya kuondokewa na kiongozi ilikuwa kipimo sahihi cha kujua adui wao wa kweli

Kama si Cdf Mabeyo kusimamia katiba leo tungekuwa tunagawana mabua
Ccm geukeni acheni kiburi
 
basi kaaa utulie maaana ngoma droo alikua kafiri kafa na wewe unaojifanya msafi pia unakufa,
Unaweza hata ukaenda kuzikwa nae. Mtu aue watu kwa visasi kisha aitwe shujaa? Mnamtania mungu.
 
Ni mda mrefu sana mataga mnasema Chadema inakufa ila cha kushangaza nyie ndiyo mmeanza kufa mmoja-mmoja.

Ni juzi tu mmezika bado mko Eda.
 
Kwa haraka haraka naamini hujui kitu , na napenda kukuonya kwamba ukiendelea kudhani Chadema inajimaliza basi kaa tayari kumalizika wewe mwenyewe , waangalie wenzio waliko hivi sasa
Ha ha haa aha haa. Itafikia kipindi wataogopa kuisema vibaya CDM maana hasira ya Mungu itawashukia.
 
Sasa si mmeachiwa MATAGA uwanja mjipe ushindi wa mezani mnaoita wa kishindo..

Tume yenu, wakurugenzi wenu, polisi wenu sasa shida iko wapi?
Saccos ilishakufa Sasa nyumbu mnatafuta sababu za kushindwa kushiriki uchaguzi. Kalaleni muote Lissu kawa VP.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.

""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"

Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.

Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.

Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.

Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.

View attachment 1741976
Aliyesema ataiua Chadema kafa yeye
 
Saccos ilishakufa Sasa nyumbu mnatafuta sababu za kushindwa kushiriki uchaguzi. Kalaleni muote Lissu kawa VP.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
CCM ndio Saccos tena ya Ngoshaz refer 2015-2021 ! Yaani kuna watu walitokea kusikojulikana nao wakaanza kutunishia wakongwe misuli sababu...wa mjomba,wa shangazi, wa baba mkubwa nk
 
Kiufupi chama kimekufa hiki....wanajifanya mabumunda

Soon kitakuwa chama cha Chadema cha mtandaoni,anadhani walioingia bungeni watang'atuka?..kwa jinsi pesa zilivyo tamu?
 
Back
Top Bottom