CHADEMA inaitia hasara Serikali

CHADEMA inaitia hasara Serikali

Tunaipenda CCM sio kwa Ubora au utendaji wake Bali kwa udhaifu wa Wapinzani
ccm haipo madarakani kwasababu ya kupendwa bali ni kwa sababu ina dola, kama ni uzuri au abaya, ccm na wapinzani wooote ni hopeless.
 
Kuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!
Na inasemekana Chadema inaendelea kuwavutia kasi wasanii wengine wengi na lengo lao kuu wanavyoipotezea serikali pesa kufikia 2019 haitakuwa na uwezo wa kifedha so na Chadema muda huo wakifanya usajili wa mwisho wa Diamond Platinum asubuhi saa 3 siku ya uchaguzi wanahesabu ushindi
 
Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.

1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.

2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.

3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.

4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.

Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.

Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Kwa mwelekeo tulioamua kuchukua, Kenya, Rwanda na Uganda zitatuacha kwa mbali sana kimaendeleo!!
 
UMEACHA MOJA- LEMA ANAKULA BURE KISONGO
 
Fatilia nchi zote zenye machafuko kisiasa,, uje na jibu kuhusu Upinzan umehusika asilimia ngap?? Mtu aliyebarehe huitwa mtu mzima,, ila ukomavu wake hutofautiana
 
View attachment 474375View attachment 474376View attachment 474377
Baada ya kusikia lowassa Leo anatia timu uwanja wa taifa.. haaaaa

Ha haa haa, aisee hawa jamaa waoga sana aisee !

Ni kweli jamaa (ENL )akitinga pale uwanjani umati wote ule wa watu 60,000 zaidi utaanza kushangilia Rais , Rais, Rais......

Hili likitokea ngosha wa chato presha ya hasira itampasua na kesho ungesikia watu watumbuliwa kwa kushindwa kulinda "hadhi" ya mtukufu !!

Kiukweli ukiyakwaa madaraka flani kwa hila na wizi, kamwe si rahisi ukajiamini na kufanya kazi zako kwa uhuru na utatumia kila njia na gharama zote kujihami !!
 
Kuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!

Jumlisha za Daudi bashite 1milion
 
Wanafuata tundu lisu kwa magari na silaha uttadhani Osama anatafutwa
 
Sijui ingekuaje Lissu angetia timu Jana taifa..
 
Back
Top Bottom