CHADEMA inaitia hasara Serikali

CHADEMA inaitia hasara Serikali

Usiloiju ccm wanfitna sana na hamjazibaini bado,,mnachukulia juu juu ila ccm wanaanzisha janga nanyi bila kujua kichwa kichwa mnaingia.. Hapo ndio mnapigwa bao
ccm IPI unazungimzia, ccm ilikua ya kina nape, mwigulu, kinana, na yule mzee wa njombe. ccm ya makonda na polepole lazima ife...
 
Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.

1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.

2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.

3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.

4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.

Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.

Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Wewe jamaa ni mkali sana
bb597ea78e53924ebe446178fc9bb9f7.jpg
 
Umeiona hii ya leo Taifa??
Idadi ya Askari inalingana na idadi ya mashabiki, kisa tu wamesikia kuna Wana-Yanga watachoma kadi za CCM hadharani na kujiunga CDM sababu ya kukamatwa Mwenyekiti wao.
 
haaaaa,
 
#1 inanikumbusha mpk malaika mdogo nae akaleta program ya kupanda miti kisa ukuta, FFU kufanya mazoezi kuliko kawaida nk nk
 
FB_IMG_1488016865543.jpg

BAADA YA KUSIKIA LOWASSA ANATIA TIMU UWANJA WA TAIFA
 
Mkuu amelewa power hataki kuelewa, yupo ikulu kakunja 4 anatoa order tu,,
 
Chadema siku zote wanatumia zaidi Akili,Wenzao siku zote wanatumia Nguvu!!!
 
Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.

1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.

2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.

3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.

4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.

Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.

Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Intelligence inatuambia knowing an existence of a problem is one step ahead of solving the problem. Wameshawajua jinsi walivyo empty headed kwahiyo wanawachezea watakavyo. Huree the great strategist of cdm
 
CHADEMA ngome imara, makini na yenye watu wenye akili nyingi sana, wanandaaa pambano na mpinzani anajiandaa vilivyo yani anawekeza kwenye zoezi la pambano alafu baadae wanasusia wakati mpinzani ameiva na watu wamebet hahaha hii ni hasara.
 
Back
Top Bottom