MNYIKA unanishangaza sana,mzee mtei ni kiongozi mwenye nguvu sana CHADEMA.mimi naamini hakuteleza hii ni ajenda yake na CDM wanaifanya makusudi.halafu ajabu mpaka ZITTO kamponda ww unajifanya kumtetea.kiufupi chadema ni wadini hata kampeni zao wanaegemea upande mmoja tu.
Mkuu Ritz kuna mdau kauliza swali; Mwl Nyerere alipopinga azimio la Zanzibari mbona hamkusema ni muasisi wa chama cha CCM tena mkasonga mbele na azimio la ufisadi??????Pomoja umekuja kuweka wazi msimamo wa Chadema lakini maneno ya Mzee Mtei yameishatoka na Mzee Mtei ndio nembo ya Chadema..
Ulichofanya John Mnyika ni sawa sawa kuziba shimo la panya kwa mkate.
Endeleeni kujitetea lakini watanzania wameishawasoma na wanajua kinachoendelea bahati nzuri kuna wana Chadema humu JF wanayakubali maneno ya Mzee Mtei kuwa ndio msimamo halisi wa Chadema.
kuna haja gani ya kuwa na mzee kama mtei{makapi} kulopoka hovyo hovyo mbele ya mass??kiongozi/mwanasiasa makini ni yule ambae siku zote kauli zake hazileti mtafaruku kwenye jamii.
Mzee katuonesha his true color!!!nafikiri huyu mzee yupo kwenye cc,watu tumepuuza kauli za udini kutoka kwa viongozi wetu wa dini,hili linaturudisha kulekule.!
Nadhani mzee Mtei pia ni miongoni mwa wazee wanaounda baraza la.wazee wa CDM hivyo kauli yake si sawa na kauli ya mwanachama wa kawaida wa CDM.Mzee mtei ni muasisi na ni muasisisi wa chadema maoni yake yana nguvu katika chama mnyika! hilo halipingiki hata kidogo.
Mzee mtei ni muasisi na ni muasisisi wa chadema maoni yake yana nguvu katika chama mnyika! hilo halipingiki hata kidogo.
Mkuu avantar yako inafanana na picha ya kiongozi Fulani wa magamba au ndio ulimpiga pale Arumeru .Chama makini watu smart na very intelligence
Maji yemshamwagika tena kwenye udongo wa kichanga, hayawezi kuzoleka.
Ila mnyika leo kidogo nimekukubali, ila yameshatokea na huyo mzee wenu ndo keshajulikana his true color.
MNYIKA unanishangaza sana,mzee mtei ni kiongozi mwenye nguvu sana CHADEMA.mimi naamini hakuteleza hii ni ajenda yake na CDM wanaifanya makusudi.halafu ajabu mpaka ZITTO kamponda ww unajifanya kumtetea.kiufupi chadema ni wadini hata kampeni zao wanaegemea upande mmoja tu.
na kauli za kikwete kwenye kampeni?