CHADEMA ina wasaliti wengi

CHADEMA ina wasaliti wengi

pole sana mkuu kwa maumivu hiki chama kilianzishwa kilaghai kwahiyo kisingeweza kudumu kwa mda mrefu kwenye siasa ni chama cha kundi fulani la watu.

Sasa kama chama tulichokiamini kwa mioyo yetu yote ni chama gani kitaondoa majambazi ya CCM?
 
Kwa mtu yeyote ambae ni mwanaCHADEMA wa dhati hawezi kuandika hiki ulichokiandika na hiki hakina tofauti na maandiko ya matamko tunayoyasoma kila siku kutoka maeneo mbalimbali ambayo yanatolewa na MASALIA, WASALITI, WAHAINI na WACHUMIA TUMBO ni vema na wewe ukajiweka wazi na kuonyesha unajivua uanachama au ushabiki ili tukuelewe.

Mkuu time will tell lakini tunatakiwa kuzuia mabaya yasitokee CHADEMA wengi mnapuuzia kila anaetofautiana mawazo na Mbowe, Slaa na wengine imekuwa wimbo kuitwa mhaini, traitor, masalia, msaliti... Tutumie akili zetu dont let your mind to be under their control, tumia utashi wako na uwe huru wa mawazo... As i said time will tell kwa sasa porojo nyingi lakini athari itaonekana next year unless the differences btn ZITTO and the top leaders are settled
 
Jaman uongoz wachadema unajua unachokifanya komuwaache wafanye kazi yao
 
Maccm bwana! Yaani yanahaha kuijenga chadema simuhamie hata Tlp? Kha! Et chama changu sasa simumchukue kwani lazima akae chama Makini cha CHADEMA? Hatakiii.nukta

Hujielewi maana we ni mtumwa mwa Slaa, Mbowe, Lema, na akina Lissu
 
Lema mmoja ni bora kuliko wana-CHADEMA wa kawaida 10,000!

Je huyo Lema akienda kupiga kura atapata zile kura 10,000 what matters ni vote.. Hao 10,000 wana uwezo wa kuingiza mbunge au madiwani kibao kwa njia ya kura, je huyo Lema wako ataweza kuwaingiz wabunge au madiwani. Usitumie makalio kufikiri
 
Mnapambana Chadema na watu ambao Mungu ndio anajua destiny yao katika maisha ya dunia ndio tatizo.
 
Yote yatajidhihirisha kwenye chaguz mbalimbali zijazo, chadema tulikipenda sana lakini ukabira, ukanda, uroho wa madaraka na kung'ang'ania uongozi unakisambaratisha ndo maana magamba wanakata mbuga kuongea na wananchi wakati chadema wako busy kuchakachuwa waraka feki ili kushawishi wananchi kuwa kamati kuu ya CDM ilifanya uamzi sahihi kuwafukuza ZITTO. Naumia sana maana ndoto za kuondoa mafisadi naona zinayeyuka, niliamini 2015 magamba watakiona cha mtemakuni sasa ndoto zinayeyuka taratibu, uamzi huu utakipasua chadema vipande vipande na tunaanza kuona matokeo yake kwa baadhi ya viongozi kujiuzuru na wengine kuhama chama.

nyinyi wananchi mnaniudhi nyiynyi hivi ukabila maana yake ni nini ina maana mwenyekiti kuwa mchaga ndiyo maana yake ukabila?mbona mnataka kuleta siasa mavi hapa? nani asiye na kabila na kabila gani ni bora kuliko lingine?nyiynyi wachochezi wa amani ya nchi mnatakiwa kukamatwa nyinyi! kama zitto ni ndiyo analeta hizi propaganga asimame hadharani aseme tumsikie siyo anayasema kwa watu wasio na fikira pevu alafu mnatia chumvi mambo ambayo siyo ya kweli. Ulafi wa madaraka kwa watu hawa utaharibu mafanikio ya nchi kujikomboa lakini sala zetu zitawajibu siku moja.watu ambao wamezoea shida hawataki kuona wenzao wanapata raha ndiyo hizo chokochoko sijui zitto kaonewa sijui kafanywaje aende mahakamani chama waache kiendelee kutia chachu ya maendeleo nchini
 
join date - 1 december 2013 posts - 9 Rep Power - 302 Likes Received -1 Likes Given - 4 karibu sana kwenye jukwaa bwana mdogo , huku uongo na uzandiki ni sumu mbaya sana .

Hahaaa kwenye jf wakati naingia mara ya kwanza nadhani we ulikuwa hujaiskia, nilijiondoa wakati naenda kusoma masters nje sasa am back nipambane na watoto wadogo kama wewe. Hata hivyo haijalishi nimeingia lini bali ni hoja kwenye mada
 
Kipind flani nilipata kujiuliza nini hasa sababu watu hawapig kura nadhani sasa mitongotongo imeanza kuniondoka
 
nyinyi wananchi mnaniudhi nyiynyi hivi ukabila maana yake ni nini ina maana mwenyekiti kuwa mchaga ndiyo maana yake ukabila?mbona mnataka kuleta siasa mavi hapa? nani asiye na kabila na kabila gani ni bora kuliko lingine?nyiynyi wachochezi wa amani ya nchi mnatakiwa kukamatwa nyinyi! kama zitto ni ndiyo analeta hizi propaganga asimame hadharani aseme tumsikie siyo anayasema kwa watu wasio na fikira pevu alafu mnatia chumvi mambo ambayo siyo ya kweli. Ulafi wa madaraka kwa watu hawa utaharibu mafanikio ya nchi kujikomboa lakini sala zetu zitawajibu siku moja.watu ambao wamezoea shida hawataki kuona wenzao wanapata raha ndiyo hizo chokochoko sijui zitto kaonewa sijui kafanywaje aende mahakamani chama waache kiendelee kutia chachu ya maendeleo nchini

Mchaga anaruhusiwa kuwa mwenyekiti kwa kifupi mtanzania yeyote ilimradi ana sifa zinazotakiwa, tatizo la Slaa na Mbowe wamehodhi madaraka, kwani nani asiejua kuwa ugomvi ulianza kipindi Zitto alipotangaza kuchuwana na MBowe? Ndo ukabira wenyewe, kama hutaki kajitundike... Utaamin siku chadema itakapokosa wabunge na madiwani kama hawatajirekebisha.
 
Yote yatajidhihirisha kwenye chaguz mbalimbali zijazo, chadema tulikipenda sana lakini ukabira, ukanda, uroho wa madaraka na kung'ang'ania uongozi unakisambaratisha ndo maana magamba wanakata mbuga kuongea na wananchi wakati chadema wako busy kuchakachuwa waraka feki ili kushawishi wananchi kuwa kamati kuu ya CDM ilifanya uamzi sahihi kuwafukuza ZITTO. Naumia sana maana ndoto za kuondoa mafisadi naona zinayeyuka, niliamini 2015 magamba watakiona cha mtemakuni sasa ndoto zinayeyuka taratibu, uamzi huu utakipasua chadema vipande vipande na tunaanza kuona matokeo yake kwa baadhi ya viongozi kujiuzuru na wengine kuhama chama.

Kwa akili hizi hujawahi kuwa na hutakaa uwe Chadema
 
Kipind flani nilipata kujiuliza nini hasa sababu watu hawapig kura nadhani sasa mitongotongo imeanza kuniondoka

Nimefanya utafiti juu ya hilo swali ndugu yangu, lower voter turnout of general elections 2010 nilipangiwa jimbo la Igunga na Tabora mana majimbo hayo statistics zilionyesha waliojitokeza walikuwa wachache ukilinganisha na majimbo mengine, therefore sababu zipo nyingi ingawa nahakika wew unakisia
 
Kwa akili hizi hujawahi kuwa na hutakaa uwe Chadema

Wasema wewe, siyo lazima kuwapigia makofi Slaa na Mbowe ili nionekane kuwa ni mwanachadema. Wapo maaskari, viongozi wa serikali wanaunga mkono harakati za chadema bila kujionyesha. Kuna kuwa shabiki ili uonekane kwa watu kuwa wewe ni mwanachadema, wengine chadema iko kwenye damu
 
Sasa nimegundua kwa nini ahadi ya mahakama ya kadhi ilitolewa!hongereni kwa kukifanya CCM chama cha kidini!

Mahakama ya kadhi wataisikia kwenye redio. Wanataka mahakama ya kadhi iendeshwe kwa kodi ya yule jamaa muuza kitimoto! What a foolishness?!!
 
Mbowe umemsahau. huyu ndiye yuda no. moja, yuko ladhi chama kife ilimladi asitoke madarakani. huyu mtu hafai kuwa kiongozi hapa Tz. mzee wa Dubei, nenda katafute nyumba ya pili kamanda. zipo nyingi zinasubili wateja. mzee wa tigo

Mzee wa tigo?? Ina maana alishaku-scratch??
 
Muua Panya anajaribu kuwashawishi vijana wenye njaa wamuunge mkono humu JF. Ameanzisha ka project kake ka BUKU SABA ili aunganishe nguvu na ile Lumumba project. Mwisho wa siku atajikuta yuko peke yake anachekea chooni maana dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu...

Hahaaa pole sana dogo, sihitaji uniunge mkono au la but the message is sent, kuna wanaosoma hawa comment na wengine viherehere kama wewe wana comment pumba. Sihitaji uniunge mkono
 
Hahaaa kwenye jf wakati naingia mara ya kwanza nadhani we ulikuwa hujaiskia, nilijiondoa wakati naenda kusoma masters nje sasa am back nipambane na watoto wadogo kama wewe. Hata hivyo haijalishi nimeingia lini bali ni hoja kwenye mada

zingatia ushauri , uongo ni hatari sana , vinginevyo utadhalilika vibaya mno
 
Wanafiki usahau mapema.... Yaani leo hii mmesahau mlivyoivunja nguvu ya chadema kigoma kwa kuwafukuza Kafulila na Mkosa mali siku chache kabla ya uchaguzi???? Kweli kwenu maisha bila unafiki hayaendi.
 
Back
Top Bottom