CHADEMA ina wanachama au mashabiki?
Hata mimi nilikuwa mwanachama wa CHADEMA ila nimerudisha kadi pale jangwani juzi. Baada ya miaka mitatu utaona ambavyo wananchi wametambua kuwa kweli CDM ni walaghai.Chadema ina wanachama mimi nikiwemo .
Chadema ina wapiga kura subiri uone,imebaki miaka 3
CHADEMA ina wanachama au mashabiki?
Sikieni enyi kizazi hiki. Mwaka 2013 kutaanza migogoro ndani ya CHADEMA, 2014 kitagawanyika vipande vitatu ndipo watanzania mtakapo amini maneno haya.
Asomaye na afahamu.
Makundi yenyewe yatakuwa haya niyataje?
Hata mimi nilikuwa mwanachama wa CHADEMA ila nimerudisha kadi pale jangwani juzi. Baada ya miaka mitatu utaona ambavyo wananchi wametambua kuwa kweli CDM ni walaghai.
Mkuu hii thread ni kwa ajili ya Wana-Chadema tu au hata tusio na vyama twaweza kuchangia?
Mmmmmh, miluka pambele!Mtaji wa chama chochote kinahitaji kura za walio wengi ili kiingie madarakani, kwa bahati mbaya chadema imeweza tu kushawishi kundi dogo la wasomi waiunge mkono. Kwa tafsiri rahisi ni kua kwa kua wajinga wanaongezeka ccm itatawala daima
Wasomi ndio mtaji na uwekezaji mkubwa na wajinga wanapungua siku hadi siku na hatimaye watakwishaMtaji wa chama chochote kinahitaji kura za walio wengi ili kiingie madarakani, kwa bahati mbaya chadema imeweza tu kushawishi kundi dogo la wasomi waiunge mkono. Kwa tafsiri rahisi ni kua kwa kua wajinga wanaongezeka ccm itatawala daima
Definition ya wasomi ni wasio wajinga. Wajinga wakiongozwa na jingalao.Ifike mahali tujue definition ya Wasomi...Wasomi ni nani haswa....? Na wasio wasomi ni kina nani?