Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA katika mrengo huo.
Wakumbuke hivi Sasa vyama vya siasa havijaanza heka heka za kampeni na kujinadi. Baada ya julai 2025 siasa za kampeni zitakapoanza, na Kila chama kujipambania mustakabali wake, Wakati huo huo CHADEMA ikiwa imeshatangazwa kuwa haimo katika mbio za uchaguzi mwaka huu, CHADEMA haitasikika tena.
Hiyo ligi itakapoanzs yenye CCM kama chama tawala, na vyama vingine 17 vinavyotafuta kujiinua, plus more than G55 wanaoendelea kutoka CHADEMA, hakika hawatapumua.
Bado nawashauri, tafuteni na jengeni reconciliation ya ndani kabla haijawa too late.