Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
-Aanze kuleta video Mwigulu Nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu
-Aliyepost kwenye mitandao akamatwe
-Jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video
-Mauaji ya Imran Kombe,Karume na kifo tata cha Prof.Malima vinajadilika
-Toa rai kwa Polisi iache kutumika kisiasa,TISS ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda CHADEMA kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea
NB:Wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
Mbona taarifa za kiintelijensia kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema Wewe ndo walewale style za Lwakatare na Mabere Marando,tofauti yenu ni Aina Ya biti mnazokuja nazo!
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
-aanze kuleta video mwigulu nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu
-aliyepost kwenye mitandao akamatwe
-jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video
-mauaji ya imran kombe,karume na kifo tata cha prof.malima vinajadilika
-toa rai kwa polisi iache kutumika kisiasa,tiss ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda chadema kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea
nb:wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
Amina chifupa
kama kweli wewe huko makini nenda angalia tena hiyo video, utagundua kwamba yeye Lwakatare ajua kwamba anarekodiwa kwa kushiriki kenye set up ya mc kwa kuongeza "Ee" yaani sawa. kwa mtu makini huwezi kutegemea video ndiyo huamini. walishiriki kuandaa video kwanza ni hawana upeo mzuri. kwa maana huwezi kuandaa au kupanga maangamizi karibu na kelele za mabasi, magari na kuacha dirisha lisilo na dirisha wazi kama wapita njia kibao. Yaani ni umbumbumbu mtupu kwa wote walishiriki ni kama maagizo ya aliyemaliza darasa la saba.
the issue here is not the video but the authenticity of video which can obtained by confronting and cross examining the the producer.two wrong doesnt make right. Hoja unazoleta ni kama ku- divert from the topic, from the issue under discussion. The point in the video is lwakatare speaking. Full stop.
you argument is bogus kwani mtu anayerekodiwa hawezi kutoa makamasi puani na kujifutia kwy nguo yake mbele ya kamera. nchi nyingi sijui kwa Tanzania kumrecord mtu bila kumwambia ni illegalI like your argument. Kitu sahihi cha kufanya ni kumsubiri atoke kisha mumuulize ilikuwaje akasema yote yale hali dalili zinaonyesha alikuwa akijua kuwa anarekodiwa? By the way, yeye kujua kuwa anarekodiwa hakufanyi video isiwe real, ila inaleta mashaka kuwa huenda Lwakatare ali-stage video ile makusudi ili aki- discredi chama chake. Kwa wanasiasa wa aina yake wanaohamahama ikithibitika hivyo halitokuwa jambo la kushangaza.