Chadema imevamiwa

Chadema imevamiwa

Mugisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
411
Reaction score
360
Hii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)

Inasikitisha sanaa kuona kuwa wale wote waliokataliwa na wanachama waccm wanahamia cdm nakuonekana ni mali kitu. Mazombie yanafurahia kweli kweli kuwa ccm imepoteza watu wake. List hii ilianzia kwa Lembeli na ester. Na kwa shauku kubwa ikaja kwa baba yao lowassa. Sasa Hawa wote kisiasa walikuwa hawana nafasi tena ccm. Lembeli anajua kuwa mgeja angemkata tuu, alikuwa Hana jinsi. Ester anajua alishakuwa mtoto wa kambo. Lowassa yeye tamaaa ya madaraka ilimponza. sasa leo Mahanga naye, baada yakukataliwa na wapiga kura wake huyo cdm na anaonekana mali. Kweli uvamizi huu unamaana yoyote kwenu? Furaha yenu ya hawa MADEKIO ni furaha ya kudumu kweli? Kwa nini wanangoja mpaka wapoteze kura za maoni ndio waje cdm? Kweli leo chama chenu kimekuwa chama cha makapi? Since nyie ni mazombie , tunawasaidia kutafakari haya. Mkitaka majibu pia tutawapa.
 
Sasa Nani kakwambia Jf ni mahakama? Si uende mahakamani iwapo huridhiki?
 
Mpigie DJ Mbowe simu umwambie awatue wabunge wa kuteuliwa
 
Hii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)

Inasikitisha sanaa kuona kuwa wale wote waliokataliwa na wanachama waccm wanahamia cdm nakuonekana ni mali kitu. Mazombie yanafurahia kweli kweli kuwa ccm imepoteza watu wake. List hii ilianzia kwa Lembeli na ester. Na kwa shauku kubwa ikaja kwa baba yao lowassa. Sasa Hawa wote kisiasa walikuwa hawana nafasi tena ccm. Lembeli anajua kuwa mgeja angemkata tuu, alikuwa Hana jinsi. Ester anajua alishakuwa mtoto wa kambo. Lowassa yeye tamaaa ya madaraka ilimponza. sasa leo Mahanga naye, baada yakukataliwa na wapiga kura wake huyo cdm na anaonekana mali. Kweli uvamizi huu unamaana yoyote kwenu? Furaha yenu ya hawa MADEKIO ni furaha ya kudumu kweli? Kwa nini wanangoja mpaka wapoteze kura za maoni ndio waje cdm? Kweli leo chama chenu kimekuwa chama cha makapi? Since nyie ni mazombie , tunawasaidia kutafakari haya. Mkitaka majibu pia tutawapa.

Toa mada kwa vile unavyoona wewe sio kwa ku generalize upuuzi wako!
 
Inanipa shaka .
uandishi hapa JF umekuwa rahisi sana siku hizi. Hakuna utofauti na fb
 
Ni lini ccm iliwatakia chadema mema katika siasa za Tanzania?
 
Hii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)

Inasikitisha sanaa kuona kuwa wale wote waliokataliwa na wanachama waccm wanahamia cdm nakuonekana ni mali kitu. Mazombie yanafurahia kweli kweli kuwa ccm imepoteza watu wake. List hii ilianzia kwa Lembeli na ester. Na kwa shauku kubwa ikaja kwa baba yao lowassa. Sasa Hawa wote kisiasa walikuwa hawana nafasi tena ccm. Lembeli anajua kuwa mgeja angemkata tuu, alikuwa Hana jinsi. Ester anajua alishakuwa mtoto wa kambo. Lowassa yeye tamaaa ya madaraka ilimponza. sasa leo Mahanga naye, baada yakukataliwa na wapiga kura wake huyo cdm na anaonekana mali. Kweli uvamizi huu unamaana yoyote kwenu? Furaha yenu ya hawa MADEKIO ni furaha ya kudumu kweli? Kwa nini wanangoja mpaka wapoteze kura za maoni ndio waje cdm? Kweli leo chama chenu kimekuwa chama cha makapi? Since nyie ni mazombie , tunawasaidia kutafakari haya. Mkitaka majibu pia tutawapa.
Ni lini ccm iliwatakia chadema mema katika siasa za Tanzania mwaka huu lazima suluali ziwashuke
 
Dah! Mkuu, kwani ni Lizaboni tu mwenye mamlaka ya kuandika habari za Lowasa, UKAWA na CHADEMA? Mleta mada ana haki ya kutoa maoni yake. Si mimi Lizaboni tu

Kweli anahaki ila sio kwa uandishi huu! angeweka hoja yake kawaida tu na aseme aonavyo yeye! lakini kaandika kama mpiga debe lugha za sokoni katumia.
 
Mkuu,tumia lugha ya staha. Na ujitahidi kuandika kwa Kiswahili ili ueleweke vyema

lugha gani ambayo imekukwaza? Niko tayari kuomba radhi lakini isije ikawa ni wale wale wanaopenda kusoma kinachowapendeza.
 
hivi nani asiyependa madaraka? JK. alishindwa uchaguzi mwaka 2010 Kwa tamaa ya madaraka akachakachua, JOB Ndugai kapiga mtu kwa mti hiyo yote ni tamaa ya madaraka, Wasira kamtwanga mwenyekiti wake kwa mangumi uchu wa madaraka huo..hakuna asiye penda madaraka wewe pimbi...cha msingi kanuni na katiba zifuatwe ili haki itendeke.
 
Ni lini ccm iliwatakia chadema mema katika siasa za Tanzania mwaka huu lazima suluali ziwashuke

huh!! Mh. Mbowe alisema maneno ya hekima sana.

waswahili husema "adui mwombee njaa wao wanamwombea shibe" maajabu ya mwaka 2015 haya
 
Dah! Mkuu, kwani ni Lizaboni tu mwenye mamlaka ya kuandika habari za Lowasa, UKAWA na CHADEMA? Mleta mada ana haki ya kutoa maoni yake. Si mimi Lizaboni tu

ww makonda huchoki kumwandama Lowasa? Umepewa Rushwa ya Ukuu wa Wilaya lakini bado umemgeuza Membe buzzi la kuchuna pesa kwa kazi za kumpakazia Lowasa uongo, Uzushi wewe sasa umebuni miladi ya kuwalia pesa maadui wa Lowasa , kila dakika upo busy unabuni vya kumsingizia Lowasa ili upate pesa , Story za kutunga sasa zimekutajirisha na kuwa Fisadi haramu kutokana na kujipatia pesa kwa njia za kishetani.
 
Chadema ni dustbin aka pipa la taka la ccm... wanatupia uchagu wote humo hahah... inafurahisha sana. Tuone ni wangapi wenye akili na upeo wa kuona hilo. Kipanya kashamaindi kugeuzwa kama chapati sijui nyie mliobaki kishabikia mnaenjoy ama vipi
 
Back
Top Bottom