Chadema imevamiwa

Chadema imevamiwa

Toa mada kwa vile unavyoona wewe sio kwa ku generalize upuuzi wako!

Tatizo lenu nyinyi mnapenda kuona post zinazoendana na muelekeo wenu kisiasa. Zote zinazokuja tofauti basi ni upuuzi. hiyo kweli ni democracia ambayo unaipigania? Au haujuia hata unapigania nini?
 
Inanipa shaka .
uandishi hapa JF umekuwa rahisi sana siku hizi. Hakuna utofauti na fb

sitegemei zombie Kama wewe kufurahishwa na mawazo mbadala. Kwenu nyie wenye hekima lazima waongee lugha yenu. Grow up, this is a democratic forum. my writing doesn't have to please you. The purpose of a sword is to hit its target.
 
Hii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)

Inasikitisha sanaa kuona kuwa wale wote waliokataliwa na wanachama waccm wanahamia cdm nakuonekana ni mali kitu. Mazombie yanafurahia kweli kweli kuwa ccm imepoteza watu wake. List hii ilianzia kwa Lembeli na ester. Na kwa shauku kubwa ikaja kwa baba yao lowassa. Sasa Hawa wote kisiasa walikuwa hawana nafasi tena ccm. Lembeli anajua kuwa mgeja angemkata tuu, alikuwa Hana jinsi. Ester anajua alishakuwa mtoto wa kambo. Lowassa yeye tamaaa ya madaraka ilimponza. sasa leo Mahanga naye, baada yakukataliwa na wapiga kura wake huyo cdm na anaonekana mali. Kweli uvamizi huu unamaana yoyote kwenu? Furaha yenu ya hawa MADEKIO ni furaha ya kudumu kweli? Kwa nini wanangoja mpaka wapoteze kura za maoni ndio waje cdm? Kweli leo chama chenu kimekuwa chama cha makapi? Since nyie ni mazombie , tunawasaidia kutafakari haya. Mkitaka majibu pia tutawapa.

Siasa ni watu.. Swali la nyongeza?
 
Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini?
 
Kuna watu wamesahau kuwa chadema ilivuna wabunge wengi baada ccm ile ya Makamba kuwafanyia mizengwe Dodoma , tambua kuwa ccm kuna hujuma nyingi zisizoangalia masilahi ya wananchi, wengi ambao wanatemwa ccm si kweli kwamba hawakubaliki na Wananchi bali ni hujuma za wachache wenye Nia zao na Rushwa kwenye kura za maoni kwani mwenye pesa ndiye hutizamwa tu.
 
Wote watakaokatwa na wote watakaokwazwa tunawakaribisha UKAWA kwa mikono miwili. Njooni tuipigie CCM kura na HAPANA tuitoe madarakani. Karibuni sana!!!
 
Ukikatwa ccm unaenda chadema ukikatwa chadema unaenda act huko nako wakikukata unaenda wapi..? Hizi ndiyo siasa za bongo..Mungu ibariki afrika na ibarikie Tanzania kuvuka kwa Amani mwaka huu wa uchaguzi 2015
 
Back
Top Bottom