mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 471
Chadema ni chama makini, viongozi makini, hoja makini. Pipoooooz
poweeeeeeeeer
Chadema ni chama makini, viongozi makini, hoja makini. Pipoooooz
hawastaili hizo sifa hata kwa chembe, shame on you
Kwani ameshalivunja au ameshauriwa tu na Magamba wenzake alivunje?
umekosea sana
Hana mkosi bali ana mtindio wa ubongoHuu ni ushindi mkubwa kwa CDM kufuatia kukubalika kwa hoja na mantiki za hoja.
CCM ilijua ni upepo kumbe ni kimbunga. JK kuvunja baraza la Mawaziri ni kudhihirisha sasa kuna taa nyekundu inawaka na inakuja kwa kasi.
Aliona kuna walakini hoja ya Zitto ikipita watapata aibu kubwa sana???
JK anamkosi au ninini?????
Acheni sifa za kijinga bila CAG kupewa meno mngejua lolote nyie mazuzu!!CAG yupo kwa sababu maalum na ndiyo hiyoChadema ni chama makini, viongozi makini, hoja makini. Pipoooooz
Kikwete ni kada mzuri sana wa chama chake cha CCM, lakini tatizo linalokuja ni kua ni mgumu mno kufanya maamuzi mazito kuwawajibisha wanaoifilisi nchi hii, tukichukulia mfano wa marehemu baba wa taifa (Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi amina). Baba wa taifa alikua ndio msimamizi wa harusi ya marehemu Oscar Kambona kule uingereza lakini pamoja na yeye kua ni mpambe wa bwana harusi yule kwenye kazi alimuwajibisha Oscar Kambona bila kumuonea haya! sasa huu ndio uongozi makini, kazi ni kazi! urafiki weka pembeni. Pamoja na Raisi Kikwete kulivunja baraza hili la mawaziri hatutapenda kuona waziri fulani ambaye sisi Watanzania tunajua alikua ni mla rushwa na fisadi eti ametolewa wizara fulani halafu akapangwa wizara fulani, bado uozo utabaki palepale! Tunalingojea kwa hamu kabisa baraza hili jipya.
pinga kwa hoja, usipinge kwa maneno 2pu.
Cdm ndicho chama kinachoongoza nchi ingawaje hakiko madarakani.
Huu ni ushindi mkubwa kwa CDM kufuatia kukubalika kwa hoja na mantiki za hoja.
CCM ilijua ni upepo kumbe ni kimbunga. JK kuvunja baraza la Mawaziri ni kudhihirisha sasa kuna taa nyekundu inawaka na inakuja kwa kasi.
Aliona kuna walakini hoja ya Zitto ikipita watapata aibu kubwa sana???
JK anamkosi au ninini?????
sio chadema ni kanisa, migomo yote, kutokuwajibika kwa watendaji wa serikali, kunafanywa na kanisa kumkomoa JK.
hawastaili hizo sifa hata kwa chembe, shame on you