kwabwina
Senior Member
- May 29, 2016
- 128
- 171
Ungeandika tetesi mbona ulituaminisha kuwa 100% una uhakika na Hlo jamboIlikuwa ni tetesi
Ungeandika tetesi mbona ulituaminisha kuwa 100% una uhakika na Hlo jamboIlikuwa ni tetesi
Na haya yanatoka kwa kamanda mvaa magwanda!
Hakima hali ndani ya CHADEMA si shwari hata kidogo.
The party is moribund.
Ilikuwa ni tetesi
Nguvu ya umma ndio imekuwa silaha duniani kote kukabiliana na changamoto za watawala sio kususa.
Tanzania tumepata Mengi sana kwasababu ya nguvu ya umma ya Chadema.
Mchakato wa Katiba mpya, maboresho ya sheria mbalimbali ikiwemo ya uchaguzi. Hata waliohamia Chadema walifuata nguvu ya Umma ndio maana hawakuiogopa serikali
Du, na hiyo nayo hoja? Kwamba adui wa CHADEAMA ni CCM! Ndivyo viongozi wa CHADEMA wanavyoamini?Kwa hiyo unahitaji kuona mbinu ile ile ya kulinda kura itumike watu waumie na kufa ndio furaha yako..
Adui yetu ni CCM sio CDM, sasa wewe uko bize kupambana na CDM hapa jibu ni jepesi na wewe ni CCM..
Hivi poyoyo liliposema Lema kapigwa na Jacob halikufungiwa kwa uongo ule? JF siku hizi inawalea sana wazushi kama huyu.
Eti anataka Chadema iendelee kutangazwa ushindi kwa damu kama vile enzi za makaburu?
Tumechoka!
Ulilipwa bei gani kwa uongo ule wa kishamba ?Ilikuwa ni tetesi
Du, na hiyo nayo hoja? Kwamba adui wa CHADEAMA ni CCM! Ndivyo viongozi wa CHADEMA wanavyoamini?
Adui wa Watanzania ni Umaskini, Maradhi na Ujinga. HIVYO BASI, viongozi wa vyama vya siasa wanapaswa kuwa na Sera na Mikakati ya muda mfupi na mrefu ya kupambana na huyo adui. Wakati wowote mwanasiasa awe tayari kuendesha vita hiyo, kwa maneno na vitendo.
Jinsi ya kupambana na adui huyo ndiyo inayotofautisha CCM na vyama vingine vya siasa, ambavyo agenda yao kwa sasa ni DEMOKRASIA isiyo na mipaka, kwa kisingizio cha ati upungufu katika Katiba ya nchi.
Acha upotoshaji wa wazi, hakuna anayetaka demokrasia isiyo na mipaka. Unaweka chumvi ili kupotosha uhalisia wa madai, sio vizuri na ni vyema ukaleta maelezo bila kupotosha. Tunaheshimu mawazo yako ila tukikupa lugha isiyopendeza kwa upotoshaji usianze kuhisi kutoheshimiwa.
Nice messageKwa hiyo unahitaji kuona mbinu ile ile ya kulinda kura itumike watu waumie na kufa ndio furaha yako..
Adui yetu ni CCM sio CDM, sasa wewe uko bize kupambana na CDM hapa jibu ni jepesi na wewe ni CCM..
Huyo kijana ni ccm damu PlMh Peter, achana naeMkuu Benson Mramba , wewe umesita lini kuwa kijana wa Mbowe? Au kwakuwa huna jina kubwa la kutangazwa ukihamia CCM?(JOKING). Hivi, huzioni changamoto katika mfumo wa uchaguzi hapa nchini?
Ccm mwenzenu huyoNa haya yanatoka kwa kamanda mvaa magwanda!
Hakima hali ndani ya CHADEMA si shwari hata kidogo.
The party is moribund.
kweliHuyu naye poyoyo mwingine. Naogopa kupata ban lakini unastahili ile lugha ya upande wa pili isiyo na mipaka wala haina cha bubu babu na shangazi mjomba mkwe au watoto ndeziii
Kuna mijituzzzzzz kha
Huo ndiyo ukweli!Nguvu ya umma ndio imekuwa silaha duniani kote kukabiliana na changamoto za watawala sio kususa.
Tanzania tumepata Mengi sana kwasababu ya nguvu ya umma ya Chadema.
Mchakato wa Katiba mpya, maboresho ya sheria mbalimbali ikiwemo ya uchaguzi. Hata waliohamia Chadema walifuata nguvu ya Umma ndio maana hawakuiogopa serikali