CHADEMA imeshinda chaguzi kwa nguvu ya umma sio Tume ya Uchaguzi. Tusidanganywe

Na haya yanatoka kwa kamanda mvaa magwanda!

Hakima hali ndani ya CHADEMA si shwari hata kidogo.

The party is moribund.

Unajichanganya, huyu alijitoa cdm muda mrefu sana tena akaja hapa jukwaani akatapika kila alichonacho rohoni. Sasa hivi anachofanya ni kuendelea kupoza roho yake kwa kutunga uzushi kadiri apendavyo na lengo ni kuwafanya ccm wafike bei. Kwa bahati mbaya hata hao ccm walimfahamu alipokuja huku mitandaoni kumwaga nyongo, hivyo sio rahisi kupewa chochote. Wanaccm wanaomfahamu ni akina jingalao, annael, lizaboni tena wanamfahamia humu humu mitandaoni.
 
Kha kumbe ccm bado wanajitaid kujisafisha?,, nasaiv mpaka walioweka in kuwa kila kata aliyopo diwan wa cdm huduma ya maji off mgao usiopimika
 
Ilikuwa ni tetesi

Jitahidi lakini huko ccm hakuna anayekufahamu hivyo hukuna anayeweza hata kukupa elfu kumi. Wenzako akina Kafulila wanafahamika na wananchi nchi nzima, sasa wewe ulikuwa unashinda ofisini kupika chai nani anakufahamu? Tafuta namna nyingine ya kutoka, hii ya kuichafua cdm wala haikutoi.

Bora zamani Polepole alikuwa anaingia humu jf, sasa hivi hathubutu anashinda twitter na instagram. Huku ujumbe wako hautoonekana. Ukiona hauleweki nenda kwenye ofisi za gazeti la uhuru kesho andika makala ya kuiutusi cdm na Mbowe, nina hakika utaweka kwenye front page kuonyesha cdm imechokwa na wala sio huku jf.
 
Nguvu ya umma ndio imekuwa silaha duniani kote kukabiliana na changamoto za watawala sio kususa.

Tanzania tumepata Mengi sana kwasababu ya nguvu ya umma ya Chadema.

Mchakato wa Katiba mpya, maboresho ya sheria mbalimbali ikiwemo ya uchaguzi. Hata waliohamia Chadema walifuata nguvu ya Umma ndio maana hawakuiogopa serikali

Kwani nani kakukataza kuonyesha nguvu ya umma? Vyama vya upinzani viko vingi nchi hii, nenda kaonyeshe nguvu yako ya umma ili navyo vishinde maana sio kwamba havitaki uwakilishi. Mwanzo ulivyoleta malalamiko yako, kuna baadhi ya watu walikuelewa, lakini kwa huu utoto unaoleta sasa hivi watu wanakuona ni mpuuzi fulani uliyechanganyikiwa. Hata hao ccm wanataka watu toka cdm lakini sio wewe kwa huu utoto ulioandika hapa.
 
Kwa hiyo unahitaji kuona mbinu ile ile ya kulinda kura itumike watu waumie na kufa ndio furaha yako..

Adui yetu ni CCM sio CDM, sasa wewe uko bize kupambana na CDM hapa jibu ni jepesi na wewe ni CCM..
Du, na hiyo nayo hoja? Kwamba adui wa CHADEAMA ni CCM! Ndivyo viongozi wa CHADEMA wanavyoamini?

Adui wa Watanzania ni Umaskini, Maradhi na Ujinga. HIVYO BASI, viongozi wa vyama vya siasa wanapaswa kuwa na Sera na Mikakati ya muda mfupi na mrefu ya kupambana na huyo adui. Wakati wowote mwanasiasa awe tayari kuendesha vita hiyo, kwa maneno na vitendo.

Jinsi ya kupambana na adui huyo ndiyo inayotofautisha CCM na vyama vingine vya siasa, ambavyo agenda yao kwa sasa ni DEMOKRASIA isiyo na mipaka, kwa kisingizio cha ati upungufu katika Katiba ya nchi.
 
Wanashangaza sana kuwalea hawa wazushi kama huyu na wengine. Kila kukicha wanawaza wazuke na uzushi upi mwingine.

Hivi poyoyo liliposema Lema kapigwa na Jacob halikufungiwa kwa uongo ule? JF siku hizi inawalea sana wazushi kama huyu.
Eti anataka Chadema iendelee kutangazwa ushindi kwa damu kama vile enzi za makaburu?
Tumechoka!
 
Du, na hiyo nayo hoja? Kwamba adui wa CHADEAMA ni CCM! Ndivyo viongozi wa CHADEMA wanavyoamini?

Adui wa Watanzania ni Umaskini, Maradhi na Ujinga. HIVYO BASI, viongozi wa vyama vya siasa wanapaswa kuwa na Sera na Mikakati ya muda mfupi na mrefu ya kupambana na huyo adui. Wakati wowote mwanasiasa awe tayari kuendesha vita hiyo, kwa maneno na vitendo.

Jinsi ya kupambana na adui huyo ndiyo inayotofautisha CCM na vyama vingine vya siasa, ambavyo agenda yao kwa sasa ni DEMOKRASIA isiyo na mipaka, kwa kisingizio cha ati upungufu katika Katiba ya nchi.

Acha upotoshaji wa wazi, hakuna anayetaka demokrasia isiyo na mipaka. Unaweka chumvi ili kupotosha uhalisia wa madai, sio vizuri na ni vyema ukaleta maelezo bila kupotosha. Tunaheshimu mawazo yako ila tukikupa lugha isiyopendeza kwa upotoshaji usianze kuhisi kutoheshimiwa.
 
tindo, nitakubaliana na wewe kuwa nimepotoka au ninapotosha kwa makusudi, kama utarejea Ibara au kifungu chochote cha Katiba ya JMT (1977) inayominya demokrasia!
 
Kwa hiyo unahitaji kuona mbinu ile ile ya kulinda kura itumike watu waumie na kufa ndio furaha yako..

Adui yetu ni CCM sio CDM, sasa wewe uko bize kupambana na CDM hapa jibu ni jepesi na wewe ni CCM..
Nice message
 
Samahani lakini, Hivi BAVICHA wananchanzo gani cha Mapato maana CCM wanajengo lao la biashara hapa maeneo ya Fire (Dar Es Salaam)??
 
Huyu naye poyoyo mwingine. Naogopa kupata ban lakini unastahili ile lugha ya upande wa pili isiyo na mipaka wala haina cha bubu babu na shangazi mjomba mkwe au watoto ndeziii
Kuna mijituzzzzzz kha
kweli
 
Benson Mramba Mimi nakupongeza sana kwa kuamua kuwa muwazi na kutoa objective analysis.

Hayo yote unayoyasema wenye akili wengi wanayajua kwa ujumla wake. Kizuri katika presentations zako unaonyesha details na mifano hai hasa ambayo ilikuwa haijawekwa wazi.

Nataka nikuhakikishie kazi unayofanya ni kubwa na inathaminiwa na wengi wanaojielewa, japo unaweza ukawa unabezwa na wapumbavu wachache ila wenye kelele nyingi.

Kwa presentations zako chache umedhihirisha mapungufu mengi ya CHADEMA ambayo wengi wamekuwa wakiyasema.
Big up
 
Nguvu ya umma ndio imekuwa silaha duniani kote kukabiliana na changamoto za watawala sio kususa.

Tanzania tumepata Mengi sana kwasababu ya nguvu ya umma ya Chadema.

Mchakato wa Katiba mpya, maboresho ya sheria mbalimbali ikiwemo ya uchaguzi. Hata waliohamia Chadema walifuata nguvu ya Umma ndio maana hawakuiogopa serikali
Huo ndiyo ukweli!
Wanajifanya hawajui kwamba nguvu ya umma inatokana na "trust" ya wananchi kwa chama na viongozi.

Kama viongozi ni matapeli, wezi na hawaaminiki nguvu ya umma inatoka wapi?

Wanasahau kudeal na chanzo wanadeal na matokeo!!
 
Back
Top Bottom