CHADEMA imepoteza ushawishi kwa Watanzania

CHADEMA imepoteza ushawishi kwa Watanzania

Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu, ikapoteza ushawishi. Watanzania hivi sasa ukiwauliza, ukiwasikiliza hawaisemi tena chadema kama ni chama kilichobeba matumaini ya unyonge wao, umaskini wao na shida zao. Wako puzzled.

Utafiti nilioufanya hautoi njia kwa chadema kupenya tena kwenye mioyo ya watanzania na kuwa chama pendwa, kimekuwa kama ilivyokuwa CUF ambayo hivi sasa ni chama zee zee, kuu kuu.

===nashauri ccm itumie vyema mwanya huu kujiimarisha, kuziba hili gape.

ngoja kushikunji la M4C lianze nyie Ndo mnapelekwaga India Kwa pressure.
 
Mwenzako anatibu huku ....CC the big show
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    83.8 KB · Views: 112
Cheki nyomi

Unaongelea nyomi la kusomba watu kwa malori toka kila pande ya Mwanza? Wananchi wakisikia CDM wanakuja wenyewe kwa gharama zao na hiyo tu inaonesha CDM ipo mioyoni mwa Watz.Mtahangaika sana! Wakati wa Mwanza walishakikataa hicho chama chakavu muda kitambo sasa.Washauri wakubwa zako wajitokeze kwenye midaharo ya kitaifa ili wananchi waskie hoja zao nzito na si kujificha kwenye vipindi kama dk45 na kuzunguka vijijini kuhadaa wakulima
 
Hizi tafiti mnazofanyia bar baada ya kunywa viroba mnavyonunuliwa na mabwana zenu ccm sio nzuri for your future.. muulize nape nani anamnyima usingjzi.?
Ila poa tu najua buku saba limeingia
 
Yea, tunapiga hela ya ruzuku ya chama tunaenda kununua majumba dubai na kwenda kuvunjari na mahawara
..sisi tunazungumzia rasilimali za taifa, bila kujali chama, wewe unaturudisha nyuma, Epa ni fedha ya watanzania wote, bila kujali chama, pesa ya Escrow sio ya chama chochote bali watanzania wote, kwa nini serikali hii ya ccm ibariki wizi?
 
Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu, ikapoteza ushawishi. Watanzania hivi sasa ukiwauliza, ukiwasikiliza hawaisemi tena chadema kama ni chama kilichobeba matumaini ya unyonge wao, umaskini wao na shida zao. Wako puzzled.

Utafiti nilioufanya hautoi njia kwa chadema kupenya tena kwenye mioyo ya watanzania na kuwa chama pendwa, kimekuwa kama ilivyokuwa CUF ambayo hivi sasa ni chama zee zee, kuu kuu.

===nashauri ccm itumie vyema mwanya huu kujiimarisha, kuziba hili gape.

duuu! we kwel ni ifweero, kwa kilugha chetu ifweero ni mtu hayawan, ni mtu asiyejitambua, asiyebadilika, anayeng'ang'ania vitu vya zilipendwa hata kama hakina manufaa kwa wakati huo kama kilivyo chama chakavu majan (ccm) kwa sasa ktk ardhi ya tz. naamin kuendelea kuwepo kwa ccm madarakan ni sawa kuendelea kukimbatia bom lilobakiza dakika kadhaa kulipuka. mi najua kwa watu wanaounga mkono ccm ni kwa 7bu eidha baba au mama zao wako ndan ya hlo dubwana au wao wenyewe wnamasiahi ndan ya hilo chama chakavu, au kwawasio nambele wala nyuma kama akina ifweero. polen sana akina ifweero type
 
Ukitaka kujua kama CHADEMA ipo hai muulize mkuu wa wilaya ya Bahi kilichotokea jana,
 
Chadema imepoteza ushawishi, na bado mnawatumia viongozi wa dini wawashawishi UKAWA warudi BMK. Si mngesema UKAWA warudi minus CHADEMA kwa sababu hawana ushawishi? Wangekuwa hawana ushawishi iweje tena wakubalike na CUF na NCCR na hatimaye kuunda umoja wa UKAWA? acha kuanzisha nyuzi zisizo na mashiko.

Id yako imerithiwa nini? Naona sio yule BAK nnaemjua mimi. UKAWA sio wananchi wala CCM hawajawahi kuwa wananchi kwa umoja wao. Wananchi ni sisi huku, kama hukubaliki huku ndio basi tena.
 
Ifweero wewe ni panzi asiyweza kupanzi. Wewe ni kidude kilichofilisika fikra na maskini wa mawazo pia. Ndugu yangu kwa upotoshaji huu unaoufanya wa kuchumia tumbo kwa mapato ya Lumumba ya book 7 utakufa maskini. Ijinga wako utamaliza siku zako za kuishi hapa duniani. WEWE NI DUDE LILILOKOSA MWELEKEO. Shame on you Satan.
 
Hivi kati ya CDM na CCM kipi kilichoishiwa sera na kukubalika? Ili ccm wafanye mkutano lazima wasombe watu kwa malori,walipe posho wahudhuriaji na wawape chakula bila kusahau burudani mithili ya FIESTA ili hali CDM wananchi wanahudhuria mikutano yao kwa mapenzi yao na gharama zao.Sasa kama una akili fikirisha ubongo utalipata jibu!
 
Back
Top Bottom