CHADEMA imepoteza ushawishi kwa Watanzania

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,341
Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu, ikapoteza ushawishi. Watanzania hivi sasa ukiwauliza, ukiwasikiliza hawaisemi tena chadema kama ni chama kilichobeba matumaini ya unyonge wao, umaskini wao na shida zao. Wako puzzled.

Utafiti nilioufanya hautoi njia kwa chadema kupenya tena kwenye mioyo ya watanzania na kuwa chama pendwa, kimekuwa kama ilivyokuwa CUF ambayo hivi sasa ni chama zee zee, kuu kuu.

===nashauri ccm itumie vyema mwanya huu kujiimarisha, kuziba hili gape.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    32.3 KB · Views: 314
  • image.jpg
    image.jpg
    25.2 KB · Views: 330
Chadema imepoteza ushawishi, na bado mnawatumia viongozi wa dini wawashawishi UKAWA warudi BMK. Si mngesema UKAWA warudi minus CHADEMA kwa sababu hawana ushawishi? Wangekuwa hawana ushawishi iweje tena wakubalike na CUF na NCCR na hatimaye kuunda umoja wa UKAWA? acha kuanzisha nyuzi zisizo na mashiko.
 
Hazikutoshi zinakubana tupe taarifa ya utafiti wako :
Ukituambia vigezo vilivyotumika; idadi ya watu uliowahoji; nafasi zao ktk jamii; mahali wanapotoka n.k
Unadhani ukisema "utafiti nilioufanya" basi inakuwa umefanya utafiti?
We ----- kweli
 
Tafiti utafanya vp huku umebugia viroba?kafanye nyingine ukiwa mzima bila kubugia viroba utapata matokeo tofaut nahuu ujinga wako uliopost,CHADEMA IPO JUU SANA PAMOJA NATAFITI UCHWALA KAMA HIZO.
 
Ccm haiwezi tumia vizur nafasi hii, kwa sababu imeanza vibaya kwa kupuuza maoni ya wananchi juu ya katiba waipendayo! Jambo hili ccm wanalifanyia mzaha lakini sio dogo kama wanavyodhani, katiba mpya ni kete nzuri sana kwa wapinzani kuelekea mwaka 2015! Wako wanaccm wazalendo wanaomlaumu jk kwa kuanzisha mchakato, na kuja kuuvuruga mwenyewe kwa mikono yake, pia wanasema kama tume aliunda yeye, na ilikuwa inawajibika kwake iweje aje aikane mwishoni? Je kulikuwa na haja ya tume kutumia bilioni zaidi ya 70 kwa kukusanya maoni na kuandaa rasimu halafu mwishoni kuja kuyakataa kwenye bmk? Ccm isipoangalia itajikaanga yenyewe kwa mafuta yake!
 
Chadema imepoteza ushawishi, na bado mnawatumia viongozi wa dini wawashawishi UKAWA warudi BMK. Si mngesema UKAWA warudi minus CHADEMA kwa sababu hawana ushawishi? Wangekuwa hawana ushawishi iweje tena wakubalike na CUF na NCCR na hatimaye kuunda umoja wa UKAWA? acha kuanzisha nyuzi zisizo na mashiko.

Mkuu BAK umemjibu vizuri sana huyu gamba...chadema ni kiboko ya magamba Hahaha hahaha hahaha kila siku yana weweseka na kusema eti chadema imekosa mvuto wakati wananchi bado wanaunga mkono chadema. Bado UKAWA INAWATOA MAGAMBA JAMBA JAMBA CHEZEA CHADEMA WEWE!
 
Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu, ikapoteza ushawishi. Watanzania hivi sasa ukiwauliza, ukiwasikiliza hawaisemi tena chadema kama ni chama kilichobeba matumaini ya unyonge wao, umaskini wao na shida zao. Wako puzzled.

Utafiti nilioufanya hautoi njia kwa chadema kupenya tena kwenye mioyo ya watanzania na kuwa chama pendwa, kimekuwa kama ilivyokuwa CUF ambayo hivi sasa ni chama zee zee, kuu kuu.

===nashauri ccm itumie vyema mwanya huu kujiimarisha, kuziba hili gape

View attachment 173601Mwanza View attachment 173602
 
CCM kama imeshindwa kujiimarisha miaka hamsini ikiwa madarakani haiwezi tena kujiimarisha. Imefikia kikomo!
 
Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu, ikapoteza ushawishi. Watanzania hivi sasa ukiwauliza, ukiwasikiliza hawaisemi tena chadema kama ni chama kilichobeba matumaini ya unyonge wao, umaskini wao na shida zao. Wako puzzled.

Utafiti nilioufanya hautoi njia kwa chadema kupenya tena kwenye mioyo ya watanzania na kuwa chama pendwa, kimekuwa kama ilivyokuwa CUF ambayo hivi sasa ni chama zee zee, kuu kuu.

===nashauri ccm itumie vyema mwanya huu kujiimarisha, kuziba hili gape
Pole sana!!!
 
..na bado kwa huo ufisadi? Ni kweli mbona mnaendelea? Mambo ya Escrowa bado mnaendelea nayo kama kawa..
Yea, tunapiga hela ya ruzuku ya chama tunaenda kununua majumba dubai na kwenda kuvunjari na mahawara
 
Chadema imepoteza ushawishi, na bado mnawatumia viongozi wa dini wawashawishi UKAWA warudi BMK. Si mngesema UKAWA warudi minus CHADEMA kwa sababu hawana ushawishi? Wangekuwa hawana ushawishi iweje tena wakubalike na CUF na NCCR na hatimaye kuunda umoja wa UKAWA? acha kuanzisha nyuzi zisizo na mashiko.
Chadema inatumia ukawa kujikongoja kisiasa. Imechoka iko hoi bin taaban
 
Chadema imepoteza ushawishi, na bado mnawatumia viongozi wa dini wawashawishi UKAWA warudi BMK. Si mngesema UKAWA warudi minus CHADEMA kwa sababu hawana ushawishi? Wangekuwa hawana ushawishi iweje tena wakubalike na CUF na NCCR na hatimaye kuunda umoja wa UKAWA? acha kuanzisha nyuzi zisizo na mashiko.

Kweli kabisa mkuu chadema imeshakufa imebaki kujikongoja kwa mwamvuli wa ukawa
 
CHADEMA ilikuwa tumaini la watanzania sana,ila imetuacha njiapanda!
Inabidi busara itumike ili kutuvusha kwenye hili janga watanzania kwa kuweka maridhino na wale wote waliotoka tupite uchaguzi wa 2015.
Politicaly its possible.
Waisaidie nchi hii maana tutafika miaka 100 wajukuu zetu watakuja pata tabu sana.
Mungu ibariki Tanzania.
 
ifweero;
Majifariji ee? Na bado

Ndio nn hiyo ifweero?

Alafu hii lugha ya Na bado wanatumia sana mashoga, ww nawe sio riziki nn?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom