CHADEMA imepoteza thamani kwa watanzania

CHADEMA imepoteza thamani kwa watanzania

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
7,930
Reaction score
991
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza
 
Tatizo la chadema wanafikiri wakikaa wanatukana serikali na kuitisha ndo watapata kura.
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza
cdm hawakumwaga damu ya mvungi,cdm hawaamuru askari kupiga raia,cdm hawakupora fedha za EPA,cdm hawakumwaga damu ya ulimboka au kule arusha
 
Kwa kuwa ndugu Jakaya kasema msiwe wanyonge naona kawafungulia mseme mtakavyo, lakini lemme tell you, ukiona chama cha siasa kinachotumia wananchi wake (wenye hali duni kifikra na kiuchumi) kukitetea kwa nguvu kubwa hivi basi jua saa ya ukombozi ii karibu! Na once ukombozi ukipatikana inabidi watu kama wewe mpewe elimu ndefu ya bure ya kujitambua kabla kupewa somo la haki na wajibu wa raia kwa taifa lake na dhidi ya raia mwenzie!
 
chadema ni genge la wahuni, mbowe na lema wamelipua mabomu soweto . henry kilewo amemwagia mtu tindikali igunga, lwakatare ni mtekaji na gaidi, ben saanane anatembea na kidumu cha sumu kumuwinda zito kwa maagizo kutoka kwa slaa. hiki chama ni hatari sana kwa amani na utulivu wa nchi
 
labda utueleze ni kwa utafiti upi....subili 2015 ndio utajua unacho kiongea
 
Ya chacha wangwe muhusika alishafungwa na mpaka leo kifungo kimeisha
 
Ulitegemea kitu ukakosa lawama lazima iwepo!!! Mfa maskini ana shida nchi hii
 
Thread za kipumbavu kama hizi ni bora wanachadema wote wakazipuuza na hakuna haja ya kuchangia.

Tuwaachie Lumumba group wajijibu wenyewe.

Hii ni Adhabu tosha kwa wanafiki wote popote pale walipo.
 
Hukiva km kijana mwenye busara na hekima huwez kuongea vitu kama hivyo. Nataka nikwambie ndugu yangu chadema inakuwazia mema mtanzania. M4C
 
chadema yazidi songa mbele, chadema itashuka thamani pale tu maisha bora kwa kila mtanzania, ahadi ambayo mpaka leo mmeshindwa kuitimiza, msisahau na ile ahadi ya boda boda kwa mama wajawazito
 
cdm hawakumwaga damu ya mvungi,cdm hawaamuru askari kupiga raia,cdm hawakupora fedha za EPA,cdm hawakumwaga damu ya ulimboka au kule arusha
Cdm walimmwagia tindikali mussa tesha huko igunga, wakamlisha sumu zitto,msaki,wakamuua wangwe, wakamteka mwenekiti wao wa temeke
 
ccm.jpgView attachment 140187hii chadema hii inaniudhi sana

Back
Top Bottom