CHADEMA imepoteza thamani kwa watanzania

CHADEMA imepoteza thamani kwa watanzania

kwa hiyo mtaacha kumwaga damu?
Wanao mwaga Dam Ni CCM au CDM? Maana Huwa siku zote CCM wanakosa Amani pale CDM inapofanya mikutano yake hivyo ccm ina diriki hata kuwatumia Polisi kuja kupiga watu kwenye mikutano ya CDM ili ijulikane kuwa CDM ndio walio mwaga dam kumbe ni CCMPOLICE Ila kiama Chaja 2015 Lazima Tanzania Itoke kwenye Ukoloni Na iingie kwenye uhuru.
 
Wewe mbona --------- na chdm kukitetea kwa nguvu?...maandamano,fujo,uporaj,utekaj na uteswaj wa viongoz wa chdm wenye mawazo tofaut na hao viongoz wenu wanywa gongo...huo c utumiaj wa nguv ucokua na ulazma?...tumewachoka na vurugu zenu its high tym to react...big up Mr prezident

Nadhani matusi ni kitu pekee ulichoambulia kujifunza kwenye maisha yako yote...shame upon you!
 
Watz wamekata tamaaa inahitaji akili ya shetani maana yeye ndiye anayeburudika kuona watu wakiwa kwenye mateso; kuiona tz yenye rasilimali zoote lakini wananchi wake kila iitwapo leo hali ya maisha yao inazidi kuwa ngumu.
Ngoja waendeleee na upendo wa majangili na ustaarabu
 
Wanao mwaga Dam Ni CCM au CDM? Maana Huwa siku zote CCM wanakosa Amani pale CDM inapofanya mikutano yake hivyo ccm ina diriki hata kuwatumia Polisi kuja kupiga watu kwenye mikutano ya CDM ili ijulikane kuwa CDM ndio walio mwaga dam kumbe ni CCMPOLICE Ila kiama Chaja 2015 Lazima Tanzania Itoke kwenye Ukoloni Na iingie kwenye uhuru.

chadema ndio wauwaji.
 
Chadema kiko juu katika chati ya kupendwa na kuonesha sera zenye matumaini. Watanzania wengi wanajua kuwa ni CCM na mapolisi ndo chanzo cha vurugu. Watanzania wanajua kuwa CCM kimegawanyika vipandevipande na kinaelekea anguko ambako hakitasimama tena. Kinatembelea njia ileile ya KANU.
 
Wazazi wako pamoja na familia yenu kwa ujumla ukiwemo wewe, ndio mmepoteza thamani kwa watanzania, kwa kuendelelea kukimbatia chama cha mafisadi, wauza unga, majangili, watekaji na kung'oa meno bila ganzi, kutoboa macho watu, kung'oa kucha kwa koleo, yaani ccm, CHADEMA ni mkombozi wa wanyonge, ndio mpango mzima.
 
kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza

tieni kamba huyo pelekeni milembe, ana kichaa cha mbwa.
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza

Watanzania wepi unaowaongelea wewe? Au tayari ushamsahau Mabina?


 
cdm hawakumwaga damu ya mvungi,cdm hawaamuru askari kupiga raia,cdm hawakupora fedha za EPA,cdm hawakumwaga damu ya ulimboka au kule arusha

Halafu we Mburula umeng'ang'ana sana na damu ya "Ulimboka" as if kafa. Ye si yupo umuulize mwenyewe! Kwa nini lakini chadema mna siasa za ulaghai!?
 
Ya chacha wangwe muhusika alishafungwa na mpaka leo kifungo kimeisha

Taja jina la muhusika, kabila lake, yuko wapi kwa sasa, na ana nafasi gani chadema mara baada ya kumaliza kazi aliyotumwa!
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza

Watanzania sio wastaarabu, wengi ni mazoba wanaolia wakati wajanja wakifaidi utajiri wao.
 
Haya Tumekusoma kachukue Buku7

Chochote mnachoambiwa, mnakimbilia neno buku 7! Lini mtazinduka na matapeli wa kisiasa kama Slaa, Lema na Mbowe? Hebu angalia historia za mapito yao! Mmoja alitaka kuwa padri kaishia kuiba wake za watu na uongo! Lema jambazi na mwizi wa magari,kakoswakoswa jela sana tu na rekodi zake zipo police arusha, Mbowe Dj mmiliki wa kasino ambamo ndimo wabwia unga wanakusanyika kuvuta kila aina ya ulevi, halafu mnajifanya kuwa mnapiga vita madawa ya kulevya wakati pa kuvutia ni Bilicanas! Ogopa sana wanasiasa hawa!
 
na hawatafanikiwa daima
Suala la kutokufanikiwa inategemea tafsiri yako. CDM imefanikiwa sana kunifungua macho kutambua kuwa kumbe kuna bora kiongozi gozi nkiongozi raMs bora. matamshi ya kishaitwani eti ccm tumekuwa wanyonge, polisi wapige tu, liwalo na liwe! Hata mtu wa kijiweni kama wewe hauwezi kuyatamka!
 
Back
Top Bottom