CHADEMA imepata Asset, CCM imepata mizigo (Wakatwa Mikia)

Utanyooka wewe bwege mshika bendera usiojielewa na mafisi wenzako,hapa kazi kwa kubolea wanyonge nyumba zao, au hapa kazi kwa kuwalaza watanzania na njaa kwenda fisi maji wewe,eti anachukua rushwa na wakati anahonga na kununua watu,
Mkuu punguza hasira. Twende nao taratiiib

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
 
Wadau, hivi karibuni kuna wimbi la watu kuhama hama vyama vya siasa. Ila kwa muonekano na uzoefu, mi naona CCM isijisifu sana maana wote waliowapokea Leo in matatizo tu.

1: Katambi - Huyu ni mzigo tangu chuo nilibahatika kusoma nae na alifeli kuendesha kampuni la uwakili...hawezi kujisimamia hadi hasimamiwe. Uingozi CDM ulimweka kando maana alishtukiwa kuwa ni ndumi-la-kuwili na hana ushawishi

2: Kitila, Msando na Samson: Hawa tunawajua kuwa walitimuliwa CDM kwa usaliti wakaenda ACT nako bado ZZK akawanao chonjo

3: L. Nyalandu: Huyu ni Mbunge wa jimbo ambaye amekubali kuachia ubunge wa jimbo na kuvua NYADHIFA zote za CCM na juzi kajiunga CDM.

4: Masha: Huyu anapenda sana kuonewa huruma. Alianza kutiliwa mashaka EMMA advocate kwa ulalamishi na hashindagi case mahakamani kama akina Hon Fatma Karume.

Huyu aliihama CCM kumfata 'MTU' ambapo aliamini huyo MTU angeshinda angepata cheo ila tangu ahamie CdM hakuwa na impact yoyote. Na ndie amemshawishi Katambi kuhama ili afanye nae kazi hiko Gabriel Advocate ( Masha, Msando & Katambi=Gabriel Advocate)

So ukitafakari kwa makini mi naona bado ACT au CDM hawajapoteza Ila CCM ndo wamepoteza kwa kiasi kikubwa.

Maana hao waliojiunga CCM Leo wote hakuna mwenye uwezo wa kugombea ubunge au udiwani wakafanikiwa....

+49 40 361 226 49150
Hizi story hamkusema walipokuwa kwenu tuliambiwa masha kamanda kweli kweli,Katambi mlimuamini mpaka mkampa ubavicha haaa haaa,hivi nyie si mliwapokea akina msindai,kingunge vipi mmewabdalisha ukamanda au bado!muwe na akiba ya maneno
 
Wadau, hivi karibuni kuna wimbi la watu kuhama hama vyama vya siasa. Ila kwa muonekano na uzoefu, mi naona CCM isijisifu sana maana wote waliowapokea Leo in matatizo tu.

1: Katambi - Huyu ni mzigo tangu chuo nilibahatika kusoma nae na alifeli kuendesha kampuni la uwakili...hawezi kujisimamia hadi hasimamiwe. Uingozi CDM ulimweka kando maana alishtukiwa kuwa ni ndumi-la-kuwili na hana ushawishi

2: Kitila, Msando na Samson: Hawa tunawajua kuwa walitimuliwa CDM kwa usaliti wakaenda ACT nako bado ZZK akawanao chonjo

3: L. Nyalandu: Huyu ni Mbunge wa jimbo ambaye amekubali kuachia ubunge wa jimbo na kuvua NYADHIFA zote za CCM na juzi kajiunga CDM.

4: Masha: Huyu anapenda sana kuonewa huruma. Alianza kutiliwa mashaka EMMA advocate kwa ulalamishi na hashindagi case mahakamani kama akina Hon Fatma Karume.

Huyu aliihama CCM kumfata 'MTU' ambapo aliamini huyo MTU angeshinda angepata cheo ila tangu ahamie CdM hakuwa na impact yoyote. Na ndie amemshawishi Katambi kuhama ili afanye nae kazi hiko Gabriel Advocate ( Masha, Msando & Katambi=Gabriel Advocate)

So ukitafakari kwa makini mi naona bado ACT au CDM hawajapoteza Ila CCM ndo wamepoteza kwa kiasi kikubwa.

Maana hao waliojiunga CCM Leo wote hakuna mwenye uwezo wa kugombea ubunge au udiwani wakafanikiwa....

+49 40 361 226 49150
Subiri ujionee. Analysis yako haina mashiko ndugu. Nyalandu mbona ni zero plus na hana meno? Maujizi yake yamemkimbiza huku na hawatamuacha kamwe.
 
Mtanyooka tu...!!! Hata kama mna vichwa vigumu kama vya samaki wasiokolea viungo...mtanyooka tu...hapa kazi tu
Nani anyooke sasa ??nanani kakwambia sisi hatufanyikazi ???au unajuakazi nimpaka kujipendekeza nakusifia ujinga ndo kazi .au kazi mlotumwa kufanya nawananchi nikupeleka TBC ikulu nakurusha live mkutano wa ccm .pumbavu kabisa namewani yako kama Kobe .
 
ccm pamoja na kubebwa na TBC, mikutano , vikao ikulu lakini bado wanatolewa jasho na chama amabacho kipo gerezani, kimenyimwa haki zote, kwa maana rahisi wananchi wameichoka ccm , na chama chao ni chadema.
 
Dalili njema ni Mwanza. Watu wanajirambua mkuu. Kuna Senior officials walikuwa huku German wanasema pia they're tired of cCM mkuu

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
 
Mtanyooka tu...!!! Hata kama mna vichwa vigumu kama vya samaki wasiokolea viungo...mtanyooka tu...hapa kazi tu
Upuuuuzi,wakitoka ccm kuja upinzani ccm hamnyooki,mkiwahonga wapinzani wakija kwenu oooh mtaanyooka
 
Nyalandu kaachia ubunge sababu kaona haulipi..hata wale aliojenga nao urafiki kupitia vitalu vya uwindaji sasa wapo mashakani..na yeye hanufaiki tena..
Ili kulinda alivyovipata ameona bora aachane na ubunge..maana ubunge wa sasa ni utumishi tu..unarudisha vile ulivyovivuna enzi ya jk..
 
Mpelekeni kwa court au
 
Back
Top Bottom