Chadema iendelee kuwa fursa kwa Wana CCM

Dr.Godbless

Dr.Godbless

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Messages
811
Likes
608
Points
180
Dr.Godbless

Dr.Godbless

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2010
811 608 180
Habari JF
Kumekuwa na mtazamo tofauti juu ya kuhama Kwa Mhe Laurance Masha ambae ameamua kurudi CCM.
Licha ya kwamba ni haki yake kikatiba, ukweli ni kwamba zipo sababu nyingine zinazoweza kurudisha Masha Lau CCM.

1. Kwa kuwa Masha amekuwa sehemu ya utawala, inawezekana njia zake sio Safi na hivyo kutoa fursa kwa maadui zake (CCM) kumtisha na akatishika.

2. Kupoteza fursa za kimaisha - Masha alipata kizingiti kutoka kwa CCM wenzake wakati wa kutafuta uteuzi wa Ubunge wa Afrika Mashariki - pengine vizingiti hivi vimeendelea katika baadhi ya fursa zake zenye mafungamano na chama tawala.

3. Hofu ya jaribio LA kuuwawa kwa Tundu Lissu na Kulipuliwa kwa EMMMA Advocates inawezekana pia kuchochea hofu dhidi ya maisha yake binafsi.

4. Vitisho dhidi ya wakosoaji na wanaohama CCM, Kama jinsi Lazaro Nyalandu anavyobambikiziwa baada tu ya kuhama chama?
Katika hali hii ni vyema chadema kufungua fursa zaidi kwa wana CCM, tofauti na hapo kutapelekea CCM kuwa na nguvu zaidi ya kimaamuzi dhidi ya wakosoaji wake kwa kujua kwamba baada ya kuwafukuza watakuwa hawana pa kukimbilia.

Magufuli angependa kuwa na mamlaka ya kuamua hatma ya wanasiasa wote, hili la kuhamia chadema linamkera zaidi.
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
1,417
Likes
1,915
Points
280
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
1,417 1,915 280
Hvi unaweza kusema Nyalandu anabambikiziwa...we kima kweli aisee....!!
 
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Messages
826
Likes
276
Points
80
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2011
826 276 80
Habari JF
Kumekuwa na mtazamo tofauti juu ya kuhama Kwa Mhe Laurance Masha ambae ameamua kurudi CCM.
Licha ya kwamba ni haki yake kikatiba, ukweli ni kwamba zipo sababu nyingine zinazoweza kurudisha Masha Lau CCM.

1. Kwa kuwa Masha amekuwa sehemu ya utawala, inawezekana njia zake sio Safi na hivyo kutoa fursa kwa maadui zake (CCM) kumtisha na akatishika.

2. Kupoteza fursa za kimaisha - Masha alipata kizingiti kutoka kwa CCM wenzake wakati wa kutafuta uteuzi wa Ubunge wa Afrika Mashariki - pengine vizingiti hivi vimeendelea katika baadhi ya fursa zake zenye mafungamano na chama tawala.

3. Hofu ya jaribio LA kuuwawa kwa Tundu Lissu na Kulipuliwa kwa EMMMA Advocates inawezekana pia kuchochea hofu dhidi ya maisha yake binafsi.

4. Vitisho dhidi ya wakosoaji na wanaohama CCM, Kama jinsi Lazaro Nyalandu anavyobambikiziwa baada tu ya kuhama chama?
Katika hali hii ni vyema chadema kufungua fursa zaidi kwa wana CCM, tofauti na hapo kutapelekea CCM kuwa na nguvu zaidi ya kimaamuzi dhidi ya wakosoaji wake kwa kujua kwamba baada ya kuwafukuza watakuwa hawana pa kukimbilia.

Magufuli angependa kuwa na mamlaka ya kuamua hatma ya wanasiasa wote, hili la kuhamia chadema linamkera zaidi.
Hizo ni ramli
 
Dr.Godbless

Dr.Godbless

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Messages
811
Likes
608
Points
180
Dr.Godbless

Dr.Godbless

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2010
811 608 180
Hvi unaweza kusema Nyalandu anabambikiziwa...we kima kweli aisee....!!
Kwa hiyo ukibaki CCM sio fisadi - Ila ukihama ndio unageuka jizi? Serikali inataka kutuambia kwamba Lazaro Nyalandu ndio waziri pekee toka Uhuru??
 
Forum statistics

Threads 1,250,853
Members 481,494
Posts 29,747,900