CHADEMA imepata Asset, CCM imepata mizigo (Wakatwa Mikia)

Msambwata

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,307
1,499
Wadau, hivi karibuni kuna wimbi la watu kuhama hama vyama vya siasa. Ila kwa muonekano na uzoefu, mi naona CCM isijisifu sana maana wote waliowapokea Leo in matatizo tu.

1: Katambi - Huyu ni mzigo tangu chuo nilibahatika kusoma nae na alifeli kuendesha kampuni la uwakili...hawezi kujisimamia hadi hasimamiwe. Uingozi CDM ulimweka kando maana alishtukiwa kuwa ni ndumi-la-kuwili na hana ushawishi

2: Kitila, Msando na Samson: Hawa tunawajua kuwa walitimuliwa CDM kwa usaliti wakaenda ACT nako bado ZZK akawanao chonjo

3: L. Nyalandu: Huyu ni Mbunge wa jimbo ambaye amekubali kuachia ubunge wa jimbo na kuvua NYADHIFA zote za CCM na juzi kajiunga CDM.

4: Masha: Huyu anapenda sana kuonewa huruma. Alianza kutiliwa mashaka EMMA advocate kwa ulalamishi na hashindagi case mahakamani kama akina Hon Fatma Karume.

Huyu aliihama CCM kumfata 'MTU' ambapo aliamini huyo MTU angeshinda angepata cheo ila tangu ahamie CdM hakuwa na impact yoyote. Na ndie amemshawishi Katambi kuhama ili afanye nae kazi hiko Gabriel Advocate ( Masha, Msando & Katambi=Gabriel Advocate)

So ukitafakari kwa makini mi naona bado ACT au CDM hawajapoteza Ila CCM ndo wamepoteza kwa kiasi kikubwa.

Maana hao waliojiunga CCM Leo wote hakuna mwenye uwezo wa kugombea ubunge au udiwani wakafanikiwa....

+49 40 361 226 49150
 
Inamaana hata kata 43 wakigombea hawatapata za chama walichohamia??

Hivi ukiwakusanya wote wanamfikia Comred Lazaro Nyalandu kwa attention??
Hawana ushawishi wale mkuu.....nahivi wamerudi upande ule ndo kwisha....
 
Unaona vyema Brother.,"Hongera kwa mtazamo makini na kuwa na kumbukumbu".
images-67.png

images-448.jpeg
 
Mtanyooka tu...!!! Hata kama mna vichwa vigumu kama vya samaki wasiokolea viungo...mtanyooka tu...hapa kazi tu
Ungekuwa huku nilipo mimi, wangeshakumaliza zamani sana. Pole maana hujui lolote
 
MWENYEKITI WAKO AMEHAMA UNAMUITA MZIGO. KATAA KUWA KARAI KIJANA WA KINYUMBU, KAMA MWENYEKITI WA VIJANA BAVICHA MZIGO MBOWE NI MZIGO x100
 
Chadema wamempokea Nyalandu sababu ana hela kibao lakini pindi hela za Nyalandu zikipungua na yeye akianza kulialia njaa watamuita ni mzigo ambao haubebeki na hauna msaada.
 
Wadau, hivi karibuni kuna wimbi la watu kuhama hama vyama vya siasa. Ila kwa muonekano na uzoefu, mi naona CCM isijisifu sana maana wote waliowapokea Leo in matatizo tu.

1: Katambi - Huyu ni mzigo tangu chuo nilibahatika kusoma nae na alifeli kuendesha kampuni la uwakili...hawezi kujisimamia hadi hasimamiwe. Uingozi CDM ulimweka kando maana alishtukiwa kuwa ni ndumi-la-kuwili na hana ushawishi

2: Kitila, Msando na Samson: Hawa tunawajua kuwa walitimuliwa CDM kwa usaliti wakaenda ACT nako bado ZZK akawanao chonjo

3: L. Nyalandu: Huyu ni Mbunge wa jimbo ambaye amekubali kuachia ubunge wa jimbo na kuvua NYADHIFA zote za CCM na juzi kajiunga CDM.

4: Masha: Huyu anapenda sana kuonewa huruma. Alianza kutiliwa mashaka EMMA advocate kwa ulalamishi na hashindagi case mahakamani kama akina Hon Fatma Karume.

Huyu aliihama CCM kumfata 'MTU' ambapo aliamini huyo MTU angeshinda angepata cheo ila tangu ahamie CdM hakuwa na impact yoyote. Na ndie amemshawishi Katambi kuhama ili afanye nae kazi hiko Gabriel Advocate ( Masha, Msando & Katambi=Gabriel Advocate)

So ukitafakari kwa makini mi naona bado ACT au CDM hawajapoteza Ila CCM ndo wamepoteza kwa kiasi kikubwa.

Maana hao waliojiunga CCM Leo wote hakuna mwenye uwezo wa kugombea ubunge au udiwani wakafanikiwa....

+49 40 361 226 49150
Huo ndio ukweli hao wote ni Magarasa wachumia tumbo hamna alie leta impact yeyote ndani ya chadema
 
Mtanyooka tu...!!! Hata kama mna vichwa vigumu kama vya samaki wasiokolea viungo...mtanyooka tu...hapa kazi tu
Utanyooka wewe bwege mshika bendera usiojielewa na mafisi wenzako,hapa kazi kwa kubolea wanyonge nyumba zao, au hapa kazi kwa kuwalaza watanzania na njaa kwenda fisi maji wewe,eti anachukua rushwa na wakati anahonga na kununua watu,
 
Huo ndio ukweli hao wote ni Magarasa wachumia tumbo hamna alie leta impact yeyote ndani ya chadema
Ndio sababu Kitila pamoja na kujiungia ccm kule Singida bado wakaona wawalete Ikulu na TBC waonyeshe live ili kuleta mvuto lakini wapi! Leo kila mtu kawasahau.
Ngoja hiyo Msando aje kuwashika kiongozi wa like wa ccm kama Giggy Money ndio watasikia raha yake
 
Back
Top Bottom