CHADEMA imelinda heshima ya Sosopi

Katu hatuludi nyuma sisi tunasongaa mbele mnaona ndio mtaaji ama kisiasa hembu tumtafute Benny Saanane
 
Mnatumia nguvu kubwa mno kutaka kuhalalisha upuuzi.

Nini maana ya kuwa na katiba sasa?

Tupeni jalalani katiba chama kiendeshwe kwa busara ya Mwenyekiti.
Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie
 
Sisi tulichotaka ni kuiishi demokrasia, hayo mengine ni porojo tu ambazo zimeshatuchosha kwani mfumowa kukatana sio wa kidemokrasia na hufanya kazi zaidi ccm
 
Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie
Hivi siyo nyie kila siku humu na kwenye vyombo vya habari mlikuwa mnapiga kelele kuwa Rais anakanyaga katiba ya nchi?!! Inakuwaje Mbowe anakanyaga katiba ya chama mnachekelea? Hivi mna akili timamu kweli?!
Muwe mnajichunguza kwanza kabla ya kulalama!? Charity begins at home... Mheshimu katiba na demokrasia kuanzia chamani ili muwe na legitimacy ya kusema hata nje!
 
Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie

Usiishi kwa hisia.

Una uhakika huwa nakaa kimya?

Uhuni hupingwa popote siyo mnaleta double standards hapa.

Kwa hiyo mnapomkomalia Magufuli huwa mmepigwa dole la tezi dume?
 
Hapa Mbowe na timu yake wamechemka haswa. Hakuna busara kwenye katiba.
 
Acha kukurupuka! Au umetumwa na Mbowe???
Yaani Sossopi hakujua kama kiongozi wa kanda ni mdogo kwa nafasi aliyonayo mpaka aombe nafasi ya Kanda???
Unataka kutuaminisha kwamba Sossopi hataki mamlaka makubwa?
Je wewe ndo unaijua Katiba ya Chadema kuliko Sossopi?
Hiyo Heshima inayolindwa kwa Sossopi ni kumzuia kugombea nafasi ambayo yeye ndo
anaiona kwamba inamaslahi kwa future yake kisiasa?
 
Unajua maana ya hiki ulichokiandika? Hii ni character assassination! Ujue maana halisi ni kuwa Sosopi hajitambui. Kwamba Sosopi hajui kuwa MM bavicha uko juu ya M/kanda. Kama uliyoandika ni kweli, kuwa makamu mwenyekiti taifa hajitambui kiasi hiki, ni nani atamwamini tena.
 

ILA Sumaye kutoka PM mpaka kugombea Pwani sawa? Nyie tatizo lenu mnavichwa kabambe Na akili ndogo Na kuona wenzenu Ni viazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…