msambaa mwenyewe
Member
- Aug 17, 2016
- 69
- 46
Huo ni ulaghai mkubwa siri kubwa iko ndani kwa kuenguliwa sosopi na mbiweNchi nzima ni zaidi ya majimbo 235 ambayo Sosopi anatakiwa kuyasimamia.
Msigwa kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33
kwa msingi huu Sosopi kwa cheo chake cha makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa.
Ni mkubwa zaidi kiutendaji na kimamlaka kiliko msigwa. Msigwa ambae ni Mwenyekiti mpya kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33 katika eneo lake la kimamlaka.
Hivyo Msigwa ni mdogo sana kimamlaka.
Sosopi akiwa na ziara kanda ya Nyasa, Msigwa lazima awepo na kuandaa ziara ya makamu Mwenyekiti BAVICHA taifa.
Sosopi ni kiongozi wa kitaifa na Msigwa ni kiongozi wa kanda. Sasa kuenguliwa kwa Sosopi katika kugombea nafasi ya kanda ni katika kumpa heshma kubwa sana.
Pia chama kimetambua majukumu makubwa na heshma aliyo nayo Sosopi. Sosopi kimajukumu anatakiwa aishi DSM kuwa karibu na ofisi kuu za chama je kanda itakuwa ofisi yaendeshwaje?
Msigwa yuko Iringa na anaishi Iringa hivyo atakuwa mtu sahihi kuwa Mwenyekiti wa kanda kwakua anaishi kanda ya Nyasa muda wake mwingi.
Chama kimefanya busara za kiutendaji kumuengua Sosopi abakie na majukumu yake ya sasa ya BAVICHA.
..Ole Sosopi angechaguliwa mashambulizi kwamba cdm inapendelea watu wa "kaskazini" yangepamba moto.
..sikubaliani na siasa za kikabila , lakini ni ukweli usiopingika kwa siasa hizo zipo hapa Tz, na ni mtaji mkubwa kwa CCM.
Cc Gamba la Nyoka
Kwa hiyo CDM inavunja katiba yake ili kukwepa mashambulizi ya CCM?
Na unaona ni sawa tu?
kama ambavyo mmepuuza katiba ya Jamhuri ya Tanzania? Maana sasa amri moja tu.Mnatumia nguvu kubwa mno kutaka kuhalalisha upuuzi.
Nini maana ya kuwa na katiba sasa?
Tupeni jalalani katiba chama kiendeshwe kwa busara ya Mwenyekiti.
kama ambavyo mmepuuza katiba ya Jamhuri ya Tanzania? Maana sasa amri moja tu.
Jina lako linasadifu akili yakoLichama la kihuni hilo